Man of the match pamoja na beki yule MingsHizi save alizotoa nyland kipa wa astonvilla angekuwa kepa zote or mbili zingekuwa magoal
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa barcley alikukosea niniKwa kikosi chenye akina barcley!! Usijipe matumaini sana.
Kusajili January ngumu kupata best player,,pia mchezaji anaweza pata shida kuadapt ligi ikiwa katkat,,all in all January transfer ni kamaliMashaka tunayopata mashabiki ni kwamba kwa kocha ambaye yuko na plan kabambe ya kujenga Chelsea mpya, kikosi cha kushindania mataji, asingeacha dirisha limpite angalau aanze kusajili wachezani baadhi kuanza kuimarisha kikosi.
Kwenye dirisha kubwa ni kumalizia kusajili key targeted players.
Sent using Cash Money Wings
Mkuu kuwa mpole vitu vizuri havitaki haraka.Ukimya wa LAMAPRD unatuchanganya mashabiki hahahaha. Ila kwa kuwa tumempa dhamana ya kutujengea timu kali ya kubeba ubingwa msimu ujao wacha tuwe wapole tuendelee kumsupport kwa nguvu zote.
Sent using Cash Money Wings
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mkuu kuwa mpole vitu vizuri havitaki haraka.
Ukiwa kwenye thread za wapinzani unajimwambafai kumbe kwako hakuna kitu. Kusajili right players kwenye dirisha hili sio rahisi kama unavyofikiria. Tulia dawa ikuingie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kinoma maana Cash money Wings , hakawii kuja kutunangaMkuu kuwa mpole vitu vizuri havitaki haraka.
Ukiwa kwenye thread za wapinzani unajimwambafai kumbe kwako hakuna kitu. Kusajili right players kwenye dirisha hili sio rahisi kama unavyofikiria. Tulia dawa ikuingie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Lampard wa kusajili, naye analalamika kama sisi. Bodi ndio imekaa kimya sijui kwanini walikata rufaaUkimya wa LAMAPRD unatuchanganya mashabiki hahahaha. Ila kwa kuwa tumempa dhamana ya kutujengea timu kali ya kubeba ubingwa msimu ujao wacha tuwe wapole tuendelee kumsupport kwa nguvu zote.
Sent using Cash Money Wings
Na ninyi si muende kwa DOF wenu kwenye nyumba yake mumfanyie vurugu, tena yule wenu ni wa kike, faster ataogopaTu be honest,, naona Lampard sio mtu mwenye malengo makubwa kwa msimu huu..
He is there just kuufuatisha mkataba wake wakutoshusha timu daraja tuu..
Hivi chelsea kwanini walienda ku"appeal ile ban,, it means tulikua tunahitaji kusajili. Sasa dirisha limefunguliwa, Lampard akapewa 150M na still ameshindwa kupata target yeyote.. Of course yeye ni low profile coach na nahisi ni moja ya sababu ya wachezaji kugoma kuja chelsea lakini bado tungeweza kutumia title ya team kusajili..
Ninavyoona mimi Lampard hataki kusajili,, na anatafuta huruma ya mashabiki tu,, najua soon atasema hakupata watu sahihi ndo maana hajafanya usajili.. Hii itamsaidia akipata matokeo mabovu atakuja na sababu zile zile, hajasajili & academy player hawana uzoefu bado.. We will learn itakua ni our motto..
All and all n tukiwa tunaamini maybe tunaeza fanya usajili mkubwa summer...
Najiuliza ikitokea at the end of season tumeshinda kupata nafasi itakayotufnya tushiriki UEFA CHAMPIONS LEAGUE na hali ya timu yetu kwa ujumla kuna high profile player yeyote ataekubali kuja Chelsea ..????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hatutampata Cavani basi mechi yetu na Bayern au hata makombe mengine itakua kazi ngumu kwetu kufika hatua nzuri. Tuhesabu msimu huu kazi iliyopo ni kuhakikisha tunabaki top four.
Back line siyo shida sana ila kwenye ushambuliaji ndio tatizo lilipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kumbe richalson ni wa gharama hivo tenaEverton wamekataa ofa ya Barcelona ya £85m kumnunua Richalson
Everton reject £85m Barca Richarlison bid
[emoji22][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Na ninyi si muende kwa DOF wenu kwenye nyumba yake mumfanyie vurugu, tena yule wenu ni wa kike, faster ataogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo ni safari ogopa mchezaji anacheza Everton anaingia kikosi cha kwanza Brazil tungempata huyu wakina odoi ,pulusic tupilia mbali anacheza direct football with scoring mentality wakati wote ,