Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tulia bana watu tuangalie mpira bana,wewe hutaki City afungwe ili na nyinyi watoto wenu wawe sehemu nzuri??

Mkuu usiwe na wasi wasi mpira hapo hakuna kitu Cletterburgh kachukua mpunga kutoka kwa both teams wanafanya maigizo tu hapo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chubiri Peas of ant waje .... ..... .... ...
 
Hahaha mkuu naona hivyo ila Chelsea na hii defence yao itakuwa kwao wakifanya mchezo maaana wamelegea kidogo....
 
Red card to frenchman, Gael!
Hali imekuwa mbaya kwa Warabu!
 
City inabidi waachie tu maana lazima watanue miguu leo kama wanamtoa Siva.....
 
Hivi Meerkat anawafunza nini hawa mafioso? Mancs walikuwa wakuwaokota leo hasa pale Gael alipokula red ... ... .hatakuwepo mechi ya Arsenal .... ..... wamemuweka kiporo Nasri ... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee goli la matuta hilo penalty kwa Chelsick .... .. Lamps anafunga ... .....

Chesick 2 - 1 Mancs ... ..... ... hayo ndiyo magoli watafunga msimu huu .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sherehe imenuka Eastlands!
Lampard scores from the spot...
 
Man City kwishney! huyu kocha hana akili, kitedo cha kumtoa Silva na Aguero ndicho kimeimaliza timu! Sasa wanamwingiza Dzeko sijui akafanyeje!
 
Mancini hajielewi.
Naona ni mara ya pili anabadhli maamuzi ya sub.
Sijui ana nini huyu baba...
 
Hivi Meerkat anawafunza nini hawa mafioso? Mancs walikuwa wakuwaokota leo hasa pale Gael alipokula red ... ... .hatakuwepo mechi ya Arsenal .... ..... wamemuweka kiporo Nasri ... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee goli la matuta hilo penalty kwa Chelsick .... .. Lamps anafunga ... .....

Chesick 2 - 1 Mancs ... ..... ... hayo ndiyo magoli watafunga msimu huu .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Naona Mancin amechanganyikiwa mpaka katoa defence ambaye ni Lescot....hahahaha mkuu nataka city wakandamizwe leo bana maana na sisi tuweze kuwa on-top bana alafu na nyinyi mkiwafunga basi raha tupu yaani
 
Man City kwishney! huyu kocha hana akili, kitedo cha kumtoa Silva na Aguero ndicho kimeimaliza timu! Sasa wanamwingiza Dzeko sijui akafanyeje!

ili aöngeze caps. Huyu kocha hajielewi kabisa...
 
Naona Mancin amechanganyikiwa mpaka katoa defence ambaye ni Lescot....hahahaha mkuu nataka city wakandamizwe leo bana maana na sisi tuweze kuwa on-top bana alafu na nyinyi mkiwafunga basi raha tupu yaani

Hao Mancs tutawafunza soka we chubiri J1, hawana lolote ni hype ya British media kwa sababu ya yule kocha mwingereza wapo sawa na Spuds .... ...... ..... ....
 
Mkuu wangu sasa na mimi nakutegemea weekend sawa??maana Chelsea wameshafanya kazi kama ambayo waliambiwa wafanye sasa na nyinyi basi tufanyieni kweli weekend au sio??alafu mkitaka kuwafunga hawa msituwekee yule defence wenu mrefu sijui marteker sijui sawa??ila nawaamini now mpo top haya kazi kwenu sasa....ila mpira ulikuwa mzuri sana
 
Chelsea-v-Man-City-Gael-Clichy-red-card_2690404.jpg

Chubiri Peas of ants waje chacha khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Ooops
Invisible na mapadri bandia wako wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom