GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 772
Pole, umeongea kwa uchungu sana!Batshuayi kwa kweli tungemuachia tu aende, sioni kama anamsaada wowote kwa timu...
Najua chelsea sasa tunaogopa asije kua salah, bruyne au lukaku mwingine,, lakini muda mwingine ukishindwa ku"unlock potential ya mchezaji ni bora umuachie aende..
Kwa mpira wa leo sub nzuri ingekua ya mtu kama giroud,, kwa crosses na kona zile naamin angefunga angalau goli moja..
Ila kuwategemea hawa watoto wakina abraham ambao wakikosa goli wanacheka hukh wakiwahi kuangalia cameras,, sidhani kama tutafika inapotakiwa
Men wins you a match sio hawa boys
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama chelsea wangetumia chances zao vzr tusingekuwa hapa kumlaumu kipa... Sawa anaweza kuwa amekosea. Lakini ndio kapelekea chelsea ashindwe kuscore?
Kwakweli lampard naona kuna kitu bado anakikosa,,,
Nahisi hajui mapungufu ya timu,, au kuna vitu anavyoamini ambavyo sio sahihi..
Chelsea inakosa watu wa long range shoot,, sidhani kama kwenye training hii kitu wanaifanya..
Pia sio deadly tena kwenye set pieces.
Mechi nyingi tunapata kona nyingi ila hatuzitumii.. Ni moja tu nakumbuka alifunga azpilicueta.. Tammy mrefu lakin hajui kabisa kuji"position
Lampard anatakiwa ajue weakness za timu ,na azifanyie mazoezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Giroud sijui kama ni majeruhi au lah? Ila jamaa hajamtumia kabisa huu msimu except for few matches pale mwanzo. But aliperform vzr tu... Sijui shida nini...Batshuayi kwa kweli tungemuachia tu aende, sioni kama anamsaada wowote kwa timu...
Najua chelsea sasa tunaogopa asije kua salah, bruyne au lukaku mwingine,, lakini muda mwingine ukishindwa ku"unlock potential ya mchezaji ni bora umuachie aende..
Kwa mpira wa leo sub nzuri ingekua ya mtu kama giroud,, kwa crosses na kona zile naamin angefunga angalau goli moja..
Ila kuwategemea hawa watoto wakina abraham ambao wakikosa goli wanacheka hukh wakiwahi kuangalia cameras,, sidhani kama tutafika inapotakiwa
Men wins you a match sio hawa boys
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipa sawa, lakini ndio pia alishika miguu ya wafungaji? Maana pia hatujascore goal.
we timu gani?Hiki nako ni kikundi cha wahuni na wavuta bangi walioamua kujiingiza kwenye mpira.
Kipa sawa, lakini ndio pia alushika miguu ya wafungaji? Maana hatujadcore goal.
chelsea, iliyofungwa dkk ya 94
HAHAHAHATimu ya ushindi ni ile ile
Kula tano mzeeBado 0-0 ila kwa uzoefu wa team yetu ikishindwa kupata goli kipindi cha kwanza gemu inaisha sare au tunafungwa moja bila,labda leo wabadilike