Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hill kombe inatakiwa tubebe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeuangalia mchezo wote, kwa kweli Chelsea waliwazidi Burnley kwenye idara zote
wamecheza mpira wa kasi kama kawaida
wamepiga pass kwa accuracy kubwa hata Odoi leo zile poteza poteza yake imetulia, kama ilivyokuwa kwenye FA, upande wa Odoi ndio uliochangamka zaidi japo mtu aliyecheza vizuri kuliko wote ni Willian
Chelsea walikuwa wakiingia kwenye final third kama wanaenda nyumbani
Mentality ya timu ilikuwa makini na walidhamiria ushindi tangu mwanzo
Odoi akiendelea hivi ile 180,000 ya kila wiki haitaenda bure kwa sababu Odoi ana nguvu na kasi infact kuliko wachezaji wote wa Chelsea walioko sasa, Katika umri huu mdogo atatufaa sana
 
Reece James jana alicheza style ya TAA wa Liverpool akiendelea hivi atakuwa hazina kubwa kwa Chelsea
Krosi zake nyingi zingetumika vizuri pamoja na zile za Odoi, Chelsea ingekuwa 6-0
 
Chelsea VS Burnely - Player Ratings
  1. Kepa Arrizabalaga 6
  2. Reece James 9
  3. Antonio Rudiger 7
  4. Andreas Christensen 7
  5. Cesar Azpilicueta 7
  6. Jorginho 7
  7. Ross Barkley 7
  8. Mason Mount 7
  9. Callum Hudson-Odoi 8
  10. Tammy Abraham 8
  11. Willian 8
 
Lampard on Barkley and Odoi
‘We played with a really positive attitude – particularly Ross [Barkley] and Callum [Hudson-Odoi]. We have set a standard today and we know we haven’t reached that recently.’
It has taken time for Hudson-Odoi to rediscover his form an fitness following a six-month injury enforced absence and Lampard was particularly delighted to see the England international on the scoresheet.
 
Poor Aubameyang will miss Away match against Chelsea on 21 Jan.

Atakosa pia mechi zingine mbili za mwezi huu hadi tar 2, Feb Arsenal VS Burnley
Mkija darajani tutawafunga 4-0
 
yaani sasa hivi willian ndio baba wa timu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
lampard na hao ndugu zake wakiingereza, wamekutana tu na vilaza, angepanga kikosi kizuri wangewafunga hata nane. Ajichanganye tu siku akutane na kikosi kilichochangamka apange hao ndugu zake.

City wamemgaragaza vila goli sita.
 
lampard na hao ndugu zake wakiingereza, wamekutana tu na vilaza, angepanga kikosi kizuri wangewafunga hata nane. Ajichanganye tu siku akutane na kikosi kilichochangamka apange hao ndugu zake.

City wamemgaragaza vila goli sita.
Hicho kikosi kizur mbona vilishindwa kuleta matokeo kwenye game dhidi ya bournmouth n west ham



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…