Mkuu Wilker da Silver yupo huru atawafaa sanaSasa options zetu muhimu za mastriker zimebuma tunasajili striker gani sasa mkali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza volumeDRINKING WATER ameshindwa kushine Burnley mpaka jamaa wameturudishia mzigo wetu katikati ya msimu. View attachment 1311213
Sent using Jamii Forums mobile app
Laca mbona yupo vizuri kiongozi... Labda Pepe ndo anaanza kurudi...Nililisemaga hili kitambo sana watu wakakaza shingo....
Ukiwaangalia
Chamakh
Bakayoko
Giroud
Sanogo
Mitchy
Laca
Walivyotoka ligi1 kuja huku epl viwango vilishuka.....
Hazard,bernado na yule aliyekuwa westham ndio waliuwasha.....
Yaani ukiflop epl kule ligi1 unaweza kwenda kutamba....ila kinyume chake haiwezekani,hii ligi1 bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Lacca yule wa Lyon alikuwa hatari kuliko huyu wa Arsenal....muangalie Lemar pale Atletico mechi 21 goli 0Laca mbona yupo vizuri kiongozi... Labda Pepe ndo anaanza kurudi...
Kiufupi wachezaji wa ligue 1 wakija ligi kama EPL wanapata wakati mgumu kiasi na baadhi baadaye hurudi kwenye viwango vyao.... Fabinho,Laca,Pepe nk.
Ila kweli laca kuna msimu alifikisha 31 goals ligue 1.... Ibra alifikisha hadi 38..lakini EPL sijui aliishia mangapi... Mcheki yule Ndombele wa toti.... Ni kweli kaka ligue 1 bado ndo maana hata magoli yake yanapointi chache kwenye kiatu cha ulaya.... Kusema ukweli mi nakuwaga na wasiwasi hadi na mbappe kwenye ligi kama EPL.Lacca yule wa Lyon alikuwa hatari kuliko huyu wa Arsenal....muangalie Lemar pale Atletico mechi 21 goli 0
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbappe ni mtu mwingine yule akienda ligi yoyote anakiwasha cos jamaa ana strong metality lakini style of playing yake Ina fit kwenye soka la sasa.Ila kweli laca kuna msimu alifikisha 31 goals ligue 1.... Ibra alifikisha hadi 38..lakini EPL sijui aliishia mangapi... Mcheki yule Ndombele wa toti.... Ni kweli kaka ligue 1 bado ndo maana hata magoli yake yanapointi chache kwenye kiatu cha ulaya.... Kusema ukweli mi nakuwaga na wasiwasi hadi na mbappe kwenye ligi kama EPL.
Ndio maana nilisema hao ni size ya WesthamMbona wachambuzi wengi wanasema BATSHUAYI ana kiwango bora kuliko huyu Dembele? Katika matop striker duniani Huyu jamaa 20 bora haingii.
Kuliko kumchukua huyu jamaa bora kumchukua Cavan wa Psg.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leteni £1B tuwape Auba&Laca
nmetoka kumuangalia youtube sasa hivi.Kuna huyu mshambuliaji wa Inter Gabriel Barbosa aliye kwa mkopo Flamengo tunahusishwa naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumchukue kama vip maana hatuna namnanmetoka kumuangalia youtube sasa hivi.
Anyway ila amekataa kusaini permanent deal flamengo. Na clubs zilizopeleka offer mpaka sasa ni Chelsea na wesham.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji wanabadilika mkuu. Kwakua Inter walimtoa kwa mkopo haimaanishi ndio keshafail. Nimeangalia anaonekana kuwa vizuri anaweza akampa changamoto TammyKuna jamaa hapo juu amesema chelsea sio club ndogo ya kugombea wachezaji na westham,m na Aston villa. Huyo barbosa alishuka kiwango inter akatolewa kwa mkopo flamengo. Kumsajili huyo ni kuleta batshuayi mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutolewa kwa mkopo mbona salah n cuadrado walitolewa kwa mkopo chelsea na baadae kuuzwaKuna jamaa hapo juu amesema chelsea sio club ndogo ya kugombea wachezaji na westham,m na Aston villa. Huyo barbosa alishuka kiwango inter akatolewa kwa mkopo flamengo. Kumsajili huyo ni kuleta batshuayi mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukishindwa huyu kuna yule lb wa ajax nagliafico yuko vizuri sana yule,Kuna tetesi Chelsea wanamtaka LB wa Porto kwa jina ni Alex Telles
Huyu ni LB mbunifu, mwepesi, defensive na mfungaji na pia anba assists za kutosha sio kama akina Alonso na Emerson
Chelsea ikimchukua huyu mbrazil tumeula
Anauzwa kwa €40m
Ukimnunua mchezaji wa kiwango cha chini ukitegemea ataongezeka form ni hatari sana.Kutolewa kwa mkopo mbona salah n cuadrado walitolewa kwa mkopo chelsea na baadae kuuzwa
Wachezaj wanabadilika mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app