interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Anafungwa spurs, anawafunga soton.......
Mmeanza kuwa Mwanitesa united sasa.Daah yan game za kupoteza tunashinda lakini game za kushinda tunapoteza
Sent using Jamii Forums mobile app
Pyeeee pyeeeeEverton ya jana ni ile mbovu sio ile iliyocheza na Chelsea. No morale, no pressing. Arsenal walicheza kawaida yao. Laiti Everton wangeweka aggressiveness kidogo kukaribia ile waliotuwekea, Arsenal wangefungwa mengi tu jana
Si yupo Tammy jamani toleo jipya la DidierPepo la Mwantesa Utd limehamia chelsea FC, striker anahitajika kusajiliwa kwa udi na uvumba kuliko mchezaji yeyote yule [emoji848][emoji25]
Sent using Jamii Forums mobile app
Lampard nampenda ila anastahili kutukanwa tu! Hakuna namna nyingine
Odoi ameshaproove ni mbabaishaji halafu anamuweka tu
Emerson ni LB anakuja kumpanga kwenye Wing-back
Koach ndie kaivuruga timu
Mimi najua hata kutengeneza chemistry ya timuy kuliko Lampard, huu ni ukweli kabisa
FGormation inaendana na wachezaji
Hii formation ya 3-4-3 ilitakiwa acheze Alonso badala ya Emerson, Pia Mount badala ya Odoi. Game ilikufia hapo jamani
40M pesa ndogo kwetu, Lampard alitakiwa tu ampe less important games au zile games za EPL ambayo tuna uhakika wa ushindi, amuingize 20min mwishoni. Kama vile Liverpool mlivyoshinda 4-0 ndio ilitakiwa kumuingiza mchezaji aina ya Odoi dakika hizo ili naye apate experience.Huyu Odoi mulikuwa muingize around £40m kutoka kwa Bayern au Liverpool mukajifanya kumng'ang'ania. Tulieni sasa
Spurs naye mgonjwa tu..
Hapo kweny kuuzwa muweke na barkleyA:- Nilishawahi kusema huko nyuma kwa sasa wachezaji 6 tuu ndio wanastahili kuanza 1st eleven CHELSEA:-
Kante
Rudger
Willan
Pulisic
Kovacic
Joginho
Kama kweli tunataka misimu ijayo tuchukue kombe, wachezaji 5 wa maana wenye uzoefu mkubwa wasajiliwe kujaza hizo nafasi
B:- Wachezaji Wanao deserve kuwa sub:-
Mount
Tammy Abraham
Zouma
Tomori
Alonso
Odoi
Barkely
James
Keppa
C:- Wachezaji wa kuuzwa:-
Batshuayi
Giroud
Pedro
Azipiculeta
Emerson
Christensen
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeanza kuwa kama man u game kubwa mnakamia sanaDaah yan game za kupoteza tunashinda lakini game za kushinda tunapoteza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi huyu Soton si aligongwa 9 - 0 nyumbani kwake na Leicester?
Dah! Mambo yanaenda kasi sana