Sio kwa bei hiyo aisee, sijaona kikubwa cha kumfanya auzwe kw hiyo bei. Odoi akiacha ubishoo anaweza tu kuliko hata huyo Sancho, kw bei hiyo hapana.Nasema tena huyu ni muhimu tena sana. Kwa uwezo wake wa kufunga na kuasiosts Katika umri mdogo wa miaka 19 wewe unataka nini? Tukawasajili wazee? huyu anafaa kwenye short, mid and long plan ya kuboresha team
Hapana Zaha is not worthy that cost anafa kununuliwa $20 -30m sio mchezaju hatari kivile tuwe nasubira tafadhari
Concern yangu ni kwamba sancho hana thamani hiyo. Hana maajabu ya kumfanya awe na thaman hiyo, atanunuliwa trust mi tutamkataa wote humu.Kaka Tusubiri mpaka lini Odoi aache ubishoo? Chelsea msimu ujao tunataka kombe la epl.
Hatuna muda wa kuwavumilia wachezaji ambao hawajitoi 100% kwenye timu.
Man city ana wachezaji zaidi ya watatu namba moja. Hapo hakuna ubishoo kila mmoja anapambana kujihakikishia namba.
Mbali na sajili za kinasacho na zaha, kwa sasa Tunatakiwa tujenge kikosi fayaaa aliyoko ndani 1st eleven motoo, aliyoko benchi motoo. Msimu ujao Tupambane na liverpool na city kwenye ubingwa na sio kuendelea kusindikiza.
Natamani kuona Chelsea mpya inazaliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kibaya zaidi ni mgerenza lini mgerenza awe na mpila wa £120m anacheza miaka miwili huoni tena hawana vipaji asiri vya mpila hao watuConcern yangu ni kwamba sancho hana thamani hiyo. Hana maajabu ya kumfanya awe na thaman hiyo, atanunuliwa trust mi tutamkataa wote humu.
Kwa disaini ya mpila wa lampard tunahitaji wachezaji kutoka la liga spain au kutoka Latino AmericaAu twende brazil kwenye ligi za mchangani tukasajili vipaji kwa bei chee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida huwa ni mkatabaHapana Zaha is not worthy that cost anafa kununuliwa $20 -30m sio mchezaju hatari kivile tuwe nasubira tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, siku njema huonekana asubuhi, Odoi wa kusubiri, kwa Sancho nilisema yeye anafaa kwa suluhisho la muda mfupi, kati na muda mrefu, Odoi yeye kwa muda mrefu na hatujui kama baada ya huo muda mrefu ataach huo ubishoo na papara za kuwapasia maadui mpira hata akiwa ana defendSio kwa bei hiyo aisee, sijaona kikubwa cha kumfanya auzwe kw hiyo bei. Odoi akiacha ubishoo anaweza tu kuliko hata huyo Sancho, kw bei hiyo hapana.
usijumlishe, wako waingereza wengi sio tu professional na legend bali pia wameweka rekodi mbalimbali. Mimi naona tatizo sio Uingereza, bali tatizo ni mtu mwenyeweTena kibaya zaidi ni mgerenza lini mgerenza awe na mpila wa £120m anacheza miaka miwili huoni tena hawana vipaji asiri vya mpila hao watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheap is Expensive, no way roundAu twende brazil kwenye ligi za mchangani tukasajili vipaji kwa bei chee?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Unadhani Odoi anawezaje kuacha huo ubishoo? Sancho na odoi ni kama wapo sawa kwa umri lakini sancho anaonekana yupo mqtured zaidi kuliko Odoi.Sio kwa bei hiyo aisee, sijaona kikubwa cha kumfanya auzwe kw hiyo bei. Odoi akiacha ubishoo anaweza tu kuliko hata huyo Sancho, kw bei hiyo hapana.
Nyie wavuta bangi wa London hyo tarehe 29 lazima mtage mayai ,, * Arteta Army*
Sent using Jamii Forums mobile app
John TerryNaombeni mnikumbushe kwa misimu iliyopita ni mchezaji gani alishawahi kutoka academy ya Chelsea akawa moto sana kwenye 1st eleven akaisaidia timu kubeba makombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sancho ni muhimu sana hiyo pesa na uwezo wake pamoja na umri wake ni sahihi kabisa. Sidhani kama tulushawahi kuwa na winga calibre ya Sancho. Huyu ni kuhimu sana kwetuKwa maoni yangu, sidhani kama huyu jamaa ni muhimu sana kihiivyo kwahiyo cost!.