Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Bora Juve na BayernSasa nyinyi Majirani munata nani kati ya hawa ↓
PSG
BARCELONA
BAYERN
JUVENTUS
RB LEIPZIG
Najua Dua zenu munamtaka RB Leipzig lakini hamukutani nae kirahisi kwani Perez atafanya figisu wakutane na Real Madrid.
Kwani vikosi vya wengine vikoje?Kwanini tu
Kwangu mimi chelsea kufikia hatua hiyo ni mafanikio makubwa sana hasa ukiangalia aina ya kikosi tulicho nacho cha vijana ambao wengi ndio mara ya kwanza kushiriki mashindano haya, pia askari hachagui adui kwa kupambana nae, tutapambana dk 180 (home and away) and time will tell, hatutakufa kiboya,
Yeyote, kwenye mtoana sio kama group stage. Hata timu bora inaweza kutolewa kwenye hii stageSasa nyinyi Majirani munata nani kati ya hawa ↓
PSG
BARCELONA
BAYERN
JUVENTUS
RB LEIPZIG
Najua Dua zenu munamtaka RB Leipzig lakini hamukutani nae kirahisi kwani Perez atafanya figisu wakutane na Real Madrid.
King wacha hizo huyo Leipzig saizi yetu hana tofauti na ajax ,tumewekeza maombi hapa.Sasa nyinyi Majirani munata nani kati ya hawa ↓
PSG
BARCELONA
BAYERN
JUVENTUS
RB LEIPZIG
Najua Dua zenu munamtaka RB Leipzig lakini hamukutani nae kirahisi kwani Perez atafanya figisu wakutane na Real Madrid.
Crystal Palace wameweka bei ya Zaha ya paundi mil 80. Lampard kwenye mfuko wa usajili wa January amepewa paundi mil 150. Hapo hapo Rodgers kasema Ben Chiwel hauzwi. Kazi ipo
Ushindwe !!
zaha asije akawa kama Pepe
Huyu Zaha ana nini cha maana kufanya asajiliwe Chelsea. Ni moja kati ya sajili ambazo mimi sipendi zitokee darajaniCrystal Palace wameweka bei ya Zaha ya paundi mil 80. Lampard kwenye mfuko wa usajili wa January amepewa paundi mil 150. Hapo hapo Rodgers kasema Ben Chiwel hauzwi. Kazi ipo
Sijui wanaona nini kwa Zaha na hata ivyo nafasi anayocheza Zaha (LW) kwa Chelsea tayari wapo watu wa maana tu kama Pulisic na Odoi. Upande wa RW ndio hasa unahitaji watu Willian peke yake hawezi na Pedro kashindwa kumpa changamoto Willian sasa hii board ya Marina inataka kufanya blunders.Hivi kweli LAMPARD yupo serious kumsajili Zaha. Huyu jamaa sijawahi kumuelewaga mbona sio mkali kiivyo ni machachari tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo ukweli wenyewe nakwenye mpira chochote kinaweza kutokeaKwanini tu
Kwangu mimi chelsea kufikia hatua hiyo ni mafanikio makubwa sana hasa ukiangalia aina ya kikosi tulicho nacho cha vijana ambao wengi ndio mara ya kwanza kushiriki mashindano haya, pia askari hachagui adui kwa kupambana nae, tutapambana dk 180 (home and away) and time will tell, hatutakufa kiboya,
Hapa hata mimi simwelewi kabisa Lampard, Zaha sijawahi kumkubali, nasikia anamtaka pia sancho, sijui na huyo nae hata ni wa nini wakati sahizi tu pale mbele anao wachezaji hajui hata ampange nani!. Bora asajili beki na kipa tu ndio changamoto.Hivi kweli LAMPARD yupo serious kumsajili Zaha. Huyu jamaa sijawahi kumuelewaga mbona sio mkali kiivyo ni machachari tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja Kati ya habari inayoniuzi na kunikera ni hii hapa ya zaha kutakiwa na Chelsea.Huyu Zaha ana nini cha maana kufanya asajiliwe Chelsea. Ni moja kati ya sajili ambazo mimi sipendi zitokee darajani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hata mimi simwelewi kabisa Lampard, Zaha sijawahi kumkubali, nasikia anamtaka pia sancho, sijui na huyo nae hata ni wa nini wakati sahizi tu pale mbele anao wachezaji hajui hata ampange nani!. Bora asajili beki na kipa tu ndio changamoto.
Mungu atuepushe na kikombe hiki cha ZahaMoja Kati ya habari inayoniuzi na kunikera ni hii hapa ya zaha kutakiwa na Chelsea.
Yaani kweli EPL sio ligi ya mchezo mchezo Everton anazikimbiza klabu zote kubwa za laliga,seria A,league 1 na bundasliga kwa mapato ya tv.....hahahahahahahahahahaahhaahahahahahahCHELSEA tumevuta mkwanja mzuri kwenye Television. View attachment 1292024
Sent using Jamii Forums mobile app