Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

K*manina Nina hasira kingese . Timu imecheza kifala leo . Lampard anatakiwa afanye massive overhaul . Hasa kwenye defense na ushambuliaji . It's just absurd loosing a game in a stupid way like that
Willian alitolewa kwa sababu zipi hasa ikiwa alikuwa vizuri tu kiuchezaji leo?

Lampard alifeli sana kumtoa Willian kabla ya mechi kuisha
 
Hivi kolabaly wa napoli january hatuwezi kumng'oa NAPOLI?
Ni ngumu kufanya usajili wa kueleweka january.... Yaana hapa tujitahidi tu tumalize top 4 na hii team... then dirisha kubwa ndo tunaweza fanya sajili za kueleweka...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…