Lille ni mdogo sana tutampiga 3+ tena wakipangwa kina odoi ,mount,James hili wala hatuna mashaka ,tunacho pata hofu ni Ajax kuongoza kundi tukawa wa pili ,bado momentum yetu inaongezeka hatupaswi kukutana na miamba kwa sasa juve,psg,Barca,Biashara tumeshindwa kufanya asubuhi jioni tutatweza kweli? Lile wakitudindishia?.
- Tukimfunga Lile tutasonga
- Tukitoa draw kule wakatoa draw tumekwenda na maji
- Tukifungwa na Valencia wakafungwa tumekwenda na maji pia
Imani yangu ,Tumekwisha pita Lile ni kibonde hawezi kutuzuia , maombi yetu ajax vs Valencia watoe sare tu,cha muhimu ni kuomba kuongoza kundi kuepuka miamba katika 16, huku tunapaswa kukutana na Napoli ,atletico,zeneth/Lyon,inter,shaktah kwasasa hawa tunawaweza.Muda unavyokwenda tunazidi kuimarika na vijino pembe kama Dully Jr wanaandika wakijua matarajio yao hayakukamilika ,walitupigia kelele hatutashinda game hata moja uefa sasa kilichobaki ni aibu.
Mzeee... bora ukutukane na timu yotote ucl ila siyo timu za italy... hasa napoli..Imani yangu ,Tumekwisha pita Lile ni kibonde hawezi kutuzuia , maombi yetu ajax vs Valencia watoe sare tu,cha muhimu ni kuomba kuongoza kundi kuepuka miamba katika 16, huku tunapaswa kukutana na Napoli ,atletico,zeneth/Lyon,inter,shaktah kwasasa hawa tunawaweza.Muda unavyokwenda tunazidi kuimarika na vijino pembe kama Dully Jr wanaandika wakijua matarajio yao hayakukamilika ,walitupigia kelele hatutashinda game hata moja uefa sasa kilichobaki ni aibu.
Kova na James, wonderfulJana nimelala kwa hasira sana sana. Kwanza huyo mtu anaitwa Batshuayi apaki mabegi yake aondoke STANFORD BRIDGE. Akatafute timu kokote anakojua.
Dirisha la usajili lazima tusajili striker mkali mzoefu wa kutupa mabao match kubwa na ngumu.
Kumtegemea TAMMY ni kujichelewesha, yeye aendelee kupata uzoefu ngoma wa watoto haikeshi, striker no 1 lazima asajiliwe kutupa matokeo.
Kuna muda Lampard anatamani pale mbele stiker afanye kitu flani matokeo yake mambo ya ovyo yanafanyika. Veri disapponted.
KEPPA KEPPA KEPPA.
Christensen mzee wa maboko/kujichanganya
Nimefurahishwa sana na performance ya:-
1. Kovacic (excellent)
2. Kante
3. James (excellent)
4. Pulisic
USAJILI MUHIMU SANA:- striker, beki ya kushoto, winger ya kulia, kiungo mkabaji (anapotoka joginho kinatakiwa kiingie kitasa sio timu kulemewa).
Kutofautiana kwa mawazo ni jambo LA kawaida. Afu watu inabidi wajue mpira ni burudani. Utani lazima uwepo. MTU anaweza sema Chelsea inashuka daraja (mwingine anakuja na matusi). Pia kuna watu wanatukana kiutani .Kwani ulishawahi kukubali?
Hoja yako kila siku ni kuwapiga vita fans wenzio wa Chelsea wanaowaunga mkono antiChelsea na kuwa tofauti kimaono na wewe.....
Na mimi ndio nakuelewesha kuwa binadamu hawawezi kufanana kifikra mara zote,wanapishana mawazo mapacha itakuwa nyinyi washabiki wa chelsea,
Na nikakupa mifano watu wanavyotofautiana kimawazo ktk nyuzi mbalimbali na wote ni fans wa timu moja...mfano Liverpool,Arsenal na Man utd kote wanatofautiana sembuse hapa !!!!
Chelsea vs Valencia dah!Msimamo wa groupView attachment 1274905
Jana nimelala kwa hasira sana sana. Kwanza huyo mtu anaitwa Batshuayi apaki mabegi yake aondoke STANFORD BRIDGE. Akatafute timu kokote anakojua.
Dirisha la usajili lazima tusajili striker mkali mzoefu wa kutupa mabao match kubwa na ngumu.
Kumtegemea TAMMY ni kujichelewesha, yeye aendelee kupata uzoefu ngoma wa watoto haikeshi, striker no 1 lazima asajiliwe kutupa matokeo.
Kuna muda Lampard anatamani pale mbele stiker afanye kitu flani matokeo yake mambo ya ovyo yanafanyika. Veri disapponted.
KEPPA KEPPA KEPPA.
Christensen mzee wa maboko/kujichanganya
Nimefurahishwa sana na performance ya:-
1. Kovacic (excellent)
2. Kante
3. James (excellent)
4. Pulisic
USAJILI MUHIMU SANA:- striker, beki ya kushoto, winger ya kulia, kiungo mkabaji (anapotoka joginho kinatakiwa kiingie kitasa sio timu kulemewa).
,Kepa ni shati na pazia kabisa
Striker ni muhimu hakuna wa kubisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Emerson sio yule kabisa aliyemueka Alonso bechi. Atakuwa ana matatizo ya physiology.
Mr. Limbu kila mtu ana imani ya TAMMY lakini sio kumtegemea 100%, hatutamuuza ataendelea kucheza aendelee kujifunza na kuimarika. Lakini striker mzoefu lazima asijiliwe wa kutuvusha kwa kipindi hichi cha mpito cha kukuza vijana.
KEPPA hamna kitu ile pesa ya kumnunua bora Abromovich angenunua Jumba la kifahari.
Kovacic ni mtu kwel kwel.
Wamefanya nini?Tayari Valencia washafanya yao
Tatizo lako hujawahi tabiri sahihi always huwa unaenda OP halafu unarudi kwa hasira. Hata ivyo tukija EL bado double trouble kwako na manyumbu.Wewe upo nafasi ya Europa tu,
Utabiri wangu game ijayo lazma msuluhu na Lille na Ajax anagongwa na Valencia au wanasuluhu pia hahahaaaaaa
Futuhi
Imani yangu ,Tumekwisha pita Lile ni kibonde hawezi kutuzuia , maombi yetu ajax vs Valencia watoe sare tu,cha muhimu ni kuomba kuongoza kundi kuepuka miamba katika 16, huku tunapaswa kukutana na Napoli ,atletico,zeneth/Lyon,inter,shaktah kwasasa hawa tunawaweza.Muda unavyokwenda tunazidi kuimarika na vijino pembe kama Dully Jr wanaandika wakijua matarajio yao hayakukamilika ,walitupigia kelele hatutashinda game hata moja uefa sasa kilichobaki ni aibu.
Hakuna namna nyingine zaidi ya kushinda game ya mwisho na Lille hayo matokeo ya Ajax na Valencia tuwaachie wao wenyewe.Biashara tumeshindwa kufanya asubuhi jioni tutatweza kweli? Lile wakitudindishia?.
- Tukimfunga Lile tutasonga
- Tukitoa draw kule wakatoa draw tumekwenda na maji
- Tukifungwa na Valencia wakafungwa tumekwenda na maji pia
Ina maana sisi tunatakiwa tushinde match na lille tufuzu bila kuangalia matokeo ya AJAX na Valencia.
Hapo ni kuhakikisha tunatimiza wajibu wetu mechi na Lille huku tukiwaomvea Valencia amkazie Ajax watoke drawIna maana sisi tunatakiwa tushinde match na lille tufuzu bila kuangalia matokeo ya AJAX na Valencia.