Mimi nilisikia kwa wachambuzi wenu wa epl,hila sikushangaa ndio maana mzee baba kwenye position yake utapisha tu atacheza yeye iwe kwenye club au national team.'Regista'????? Uposahihi Joginho kumwita hivyo kwani hata wa Jangwani Secondary School nayeye anaitwa Raisi.
OffpointTatizo unakaza sana misuli ya shingo.....
Mimi nataka MKWENDE NA MAJI.Leo tuko kwenye KO stage,
- Tukishinda kwa margin ya mbili tumeenda
- Tukishinda kwa margin ya moja au tukitoka sare tutasubiri majibu ya maombi yetu kutoka kwa Mola
- Tukifungwa tumekwenda na maji
Kwa kepa aliyezubaaga hata muende kwa mganga gani,yule mlipigwa za uso mlifikiri kutoa mihela mingi ndio mtapata kipa mzuri zaidi ya A.Becker.......hahahaSuala la Muda tu Gorgihno The Register alipigiwa kelele sana hapa lakini Leo watu wanamuelewa jinsi Mpira unavyotii akili yake,ni suala muda kijana ataonyesha thamani ya pesa
Leo tuko kwenye KO stage,
- Tukishinda kwa margin ya mbili tumeenda
- Tukishinda kwa margin ya moja au tukitoka sare tutasubiri majibu ya maombi yetu kutoka kwa Mola
- Tukifungwa tumekwenda na maji
Na tukishinda leo afu akaja kutuchapa? Afu valencia naye akaja kuchapwa na Ajax nan atasonga
Katika hili kundi inavyoelekea H2H results ndio itakayoamua nani asonge na nani abakiNa tukishinda leo afu akaja kutuchapa? Afu valencia naye akaja kuchapwa na Ajax nan atasonga
Lakini kama chelsea atashinda match zake mbili zilizobaki hata kama kwa 1 bila kila match basi njia itakuwa ni nyeupe...Katika hili kundi inavyoelekea H2H results ndio itakayoamua nani asonge na nani abaki
Ili Chelsea iwe na uhakika wa kusonga mbele ni lazima washinde kwa goal difference ya 2 kwenda juu ili H2H results yake iwe bora Zaidi ya Valencia hata kama Valencia wakiwafunga Ajax kwenye mchezo wa mwisho
Kama Chelsea ikishinda kwa goli moja na Valencia wakawafunga Ajax 1-0, Chelsea inasonga mbele
Kama Chelsea ikidraw halafu Ajax vs Valencia wakadraw, Chelsea itasonga mbele
Hayo yote tunategemea leo Ajax atashinda na Chelsea atafungwa na Lile mchezo wa mwisho
Kama Chelsea akimfunga 1-0 na kwenye mchezo wao na Ajax akashinda 2-0 bado Chelsea itasonga mbele ila
Kama Valencia akimfunga 3-0 Valencia anasonga mbele
Ila kama Chelsea atashinda leo 1-0 na akamfunga Lile Chelsea atasonga mbele kwa sababu lazima mchezo wa Ajax na Valencia umtoe mshindi mmoja atakayeungana na Chelsea kwa sababu Chelsea atakuwa na point 13 ambazo ni timu moja tu kati ya hao wawili wenye uwezo wa kufikia.
Mchezo wa leo ni muhimu Chelsea kushinda 2-0 au tofauti ya 2 ili akate ngebe, hata Valensia wakiwafunga goli 1000 Ajax watatoana wenyewe, matokeo yao hayataiadhiri Chelsea kwa sababu watakuwa wanapunguziana H2H GD wenye
Akishinda 3-0 Ajax na Chelsea wanakwenda, Akishinda 4-0 Valencia anakwenda ajax anabaki
Ni sawa kabisaLakini kama chelsea atashinda match zake mbili zilizobaki hata kama kwa 1 bila kila match basi njia itakuwa ni nyeupe...
Ila kama Chelsea atashinda leo 1-0 na akamfunga Lile Chelsea atasonga mbele kwa sababu lazima mchezo wa Ajax na Valencia umtoe mshindi mmoja atakayeungana na Chelsea kwa sababu Chelsea atakuwa na point 13 ambazo ni timu moja tu kati ya hao wawili wenye uwezo wa kufikia.
Ushindi leo unatakiwa
Taka sasaMimi nataka MKWENDE NA MAJI.
Christnsen hakua majeruhi alishapona kitamho sema hakua anapangwa tuChristensen kivipi? Ametoka majeruhi anapangwa kwenye match ngumu. Jamaa anatoaga maboko sana kwenye mechi kubwa. Unakumbuka ile uefa na Barcelona.
Mimi naamini Lampard anajua nini anafanya wacha niache muda usemeLine up in 4-3-3
Pulisic - Tammy - Willian
Kovacic - Jorginho - Kante
Azpi - Zouma - Christensen - James
KEPA