Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu ushabik isikutoe ufahamu. Mimi ni mshabiki wa chelsea tena zaidi unavyozani. Nimeandika mtazamo wangu. Jaribu kuelewa kilichoandikwa na si kukurupuka na kutokwa na kamasi mdomoni.[emoji2957][emoji2957]
Mkuu matusi ya nini

Kwani unapotofautiana kimsimamo na shabiki lazima umtukane?
 
Mungu aendelee kumbariki unai emery
 
Barkley ni fala sana
Valencia hajawahi kumfunga chelsea nyumbani kwake...

Halafu siku hawatopaki basi sababu nao wanatamani kwenda 16 bora. Wakishafunguka tu biashara lazima iwakate...

Halafu Barkley hatokuwepo... aiseee wajipange...
 
Wewe mimi nilichokiandika na wewe unachokisema ni vitu viwili tofauti
 
Wewe mimi nilichokiandika na wewe unachokisema ni vitu viwili tofauti
Kwani ulishawahi kukubali?

Hoja yako kila siku ni kuwapiga vita fans wenzio wa Chelsea wanaowaunga mkono antiChelsea na kuwa tofauti kimaono na wewe.....
Na mimi ndio nakuelewesha kuwa binadamu hawawezi kufanana kifikra mara zote,wanapishana mawazo mapacha itakuwa nyinyi washabiki wa chelsea,
Na nikakupa mifano watu wanavyotofautiana kimawazo ktk nyuzi mbalimbali na wote ni fans wa timu moja...mfano Liverpool,Arsenal na Man utd kote wanatofautiana sembuse hapa !!!!
 
Sure ! . Yule boya anachojua ni kujirusha tu mamaee zake .
Ukiangalia like goli la 2 na la Tatu lililokataliwa kwa VAR utagundua huyu mjinga anazingua sana
Kuwa na adabu na kipa ghali mkuu...huyu Kepa aliyezubaaga ndio kipa ghali duniani
 
Offpoint
 
Naona sasa hv mshaanza kunielewa... nishawah kusema toka msimu unaanza kepa ni kipa mbovu epl nzima
Suala la Muda tu Gorgihno The Register alipigiwa kelele sana hapa lakini Leo watu wanamuelewa jinsi Mpira unavyotii akili yake,ni suala muda kijana ataonyesha thamani ya pesa
 
Suala la Muda tu Gorgihno The Register alipigiwa kelele sana hapa lakini Leo watu wanamuelewa jinsi Moira unavyotii akili yako,ni suala muda kijana ataonyesha thamani ya pesa

'Regista'????? Uposahihi Joginho kumwita hivyo kwani hata wa Jangwani Secondary School nayeye anaitwa Raisi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…