Kwahiyo kaka mkubwa kama mtu akiwa fan wa Chelsea ndio haruhusiwi kukupinga pamoja na upupu wote huo unaoutoa hahahahaha aiseeeee katika majitu majinga ya hapa Chelsea basi wewe ni mmoja wapo.Hivi hizo digrii nne zenu ndio munataka kufunga mpaka fikra za wengine.Kijana wacha kuropoka, kama ni Chelsea uwe na kituo wakati unaongea sio kuja kuungana na waadhirika na sisi hatutaweza kukutofautisha
Ninyi ni plastic fans, hamuwezi kumuda majigambo ya ushabiki, mkitupiwa neno moja tu hata sio matusi mnakuja juu, je ningeamua kuwatuka mngekuwaje. Sio lazima uwe mashabiki kama huyawezi, kuna refreshment nyingi unaweza kuopt na bado ikakusaida kimaisha kutuliza msongo wa mawazoWewe akili zako ni fupi sana, @lembuMBUMBU yaani ni mbumbumbu na jina lako linaakisi ulivyo.....
Kaa tafakari jitathmini kama utakuwa ni fungu la kupata utajua unapojikwaa kila mara rudi jirekebishe uendelee positively ila kama fungu la kukosa endeleza huu upumbavu wako wa kudharau wengine ,kuwaita majina ya hovyo na kujiona wewe ni muchknow sana....ili uendelee negatively,
Ujanja mwingi mbele kiza.......
Big up kwa Chelsea fan wenye kujielewa vema,
Mkuu usisumbuke na huyo jamaa huwaga hajielewi yeye kutwa kushinda humu na kuandika upuuzi kama mganga wa kienyeji,na huwa hapingwi NENO LAKE SHERIA,usipoteze muda.Wewe akili zako ni fupi sana, @lembuMBUMBU yaani ni mbumbumbu na jina lako linaakisi ulivyo.....
Kaa tafakari jitathmini kama utakuwa ni fungu la kupata utajua unapojikwaa kila mara rudi jirekebishe uendelee positively ila kama fungu la kukosa endeleza huu upumbavu wako wa kudharau wengine ,kuwaita majina ya hovyo na kujiona wewe ni muchknow sana....ili uendelee negatively,
Ujanja mwingi mbele kiza.......
Big up kwa Chelsea fan wenye kujielewa vema,
Acha uboya wewe kwa nondo zipi unazotoa wewe???acha kukashifu wenzio data gani uliyotoa ya maana nyambafNinyi ni plastic fans, hamuwezi kumuda majigambo ya ushabiki, mkitupiwa neno moja tu hata sio matusi mnakuja juu, je ningeamua kuwatuka mngekuwaje. Sio lazima uwe mashabiki kama huyawezi, kuna refreshment nyingi unaweza kuopt na bado ikakusaida kimaisha kutuliza msongo wa mawazo
Mimi ni much know kwa sababu naongea na data, wewe tangu tuanze kubishana umetoa nondo zipi
Mnatafuta nini huku mkama ushabiki hamuwezi, ondokeni mtuachie nyumba yetu, ukiwa huku ukubali ushabiki na sio kutukana ovyoMkuu usisumbuke na huyo jamaa huwaga hajielewi yeye kutwa kushinda humu na kuandika upuuzi kama mganga wa kienyeji,na huwa hapingwi NENO LAKE SHERIA,usipoteze muda.
Wewe ni wa kupuuzwa.Ninyi ni plastic fans, hamuwezi kumuda majigambo ya ushabiki, mkitupiwa neno moja tu hata sio matusi mnakuja juu, je ningeamua kuwatuka mngekuwaje. Sio lazima uwe mashabiki kama huyawezi, kuna refreshment nyingi unaweza kuopt na bado ikakusaida kimaisha kutuliza msongo wa mawazo
Mimi ni much know kwa sababu naongea na data, wewe tangu tuanze kubishana umetoa nondo zipi
Vema kwa kulielewa hilo mkuuWewe ni wa kupuuzwa.
Hujielewi
Kwahiyo wewe ndio unaruhusa ya kutukana hovyo wenzio?alafu hii tabia ya kufukuza watu katika nyuzi naona imekithiri,wewe nani mpaka ufukuze wengine?onesha kadi ya chelsea hapa tuone kama wewe ni shabiki kweli au mpiga kelele tu,hovyo kabisa weweMnatafuta nini huku mkama ushabiki hamuwezi, ondokeni mtuachie nyumba yetu, ukiwa huku ukubali ushabiki na sio kutukana ovyo
Wewe una timu ndugu yangu,usichekeshe walionuna hahahaha kadi ya upenzi wa klabu mbali hiyo akaunti tu katika mtandao wa chelsea huna unakuja kutanua domo humu hehehehehehehehe ,hivi wewe ujadili kuhusu chelsea na shabiki aliye london pale afanyaje,FICHA UJINGA WAKO unajidhalilisha.Wanaume tumekaa tunajadili timu yetu wewe unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji.
Mna wivu nyingi sana nyie TOT, hii nafasi ya Chelsea imewapa ukichaa kabisa. Milipigia mahesabu mwanzoni mwa ligi kuwa mtakuwa hapo Chelsea ilipo sasa hiyo namba 14 inawala akili poleni mnahitaji kuishi kwa matumaini, wadhirika wote wanakuwaga hivyo nimewasamehe bureKwahiyo wewe ndio unaruhusa ya kutukana hovyo wenzio?alafu hii tabia ya kufukuza watu katika nyuzi naona imekithiri,wewe nani mpaka ufukuze wengine?onesha kadi ya chelsea hapa tuone kama wewe ni shabiki kweli au mpiga kelele tu,hovyo kabisa wewe
Unajadili kuhusu timu yako?duh hayo majadiliano yako yana impact gani kwa chelsea mkuu?sio lazima kutetea ujinga kisa umefanywa na baba yako,alafu ukajidanganya ndio heshima hapo NYOTE MWAONEKANA WAJINGA.Wanaume tumekaa tunajadili timu yetu wewe unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji.
Kuhusu suala la nafasi ni suala la muda tu,sina hata tone la shaka.Mna wivu nyingi sana nyie TOT, hii nafasi ya Chelsea imewapa ukichaa kabisa. Milipigia mahesabu mwanzoni mwa ligi kuwa mtakuwa hapo Chelsea ilipo sasa hiyo namba 14 inawala akili poleni mnahitaji kuishi kwa matumaini, wadhirika wote wanakuwaga hivyo nimewasamehe bure
Hivi nyie mna uzi kweli maana humu tunabishania mambo yasiyowahusu wana Chelsea na tunawachosha bure, tupeni uzi wenu tuwajie humo humo tuwafundishe ushabiki unakuwaje msije siku moaj mkajinyonga kwa timu kufanya vibayaKuhusu suala la nafasi ni suala la muda tu,sina hata tone la shaka.
Uzi upo ila mods bado hawajauweka sticky,ila upo!mimi ni mwanaspoti na aio mbishani.Hivi nyie mna uzi kweli maana humu tunabishania mambo yasiyowahusu wana Chelsea na tunawachosha bure, tupeni uzi wenu tuwajie humo humo tuwafundishe ushabiki unakuwaje msije siku moaj mkajinyonga kwa timu kufanya vibaya
Kwani unalipwa kiasi gani kwa kusema uwongo?Hawa mashabiki wa tote waliingia uzi wa liver wakafukuzwa, wakaingia uzi wa man u wakafukuzwa, wakaingia uzi wa arsenal wakafukuzwa sasa wamekuja wa chelsea tumewapiga tanganyika jeki tuwatupe huko nje.
Uzi upo ila mods bado hawajauweka sticky,ila upo!mimi ni mwanaspoti na aio mbishani.
We unakaribishwa tu na wala hutosikia mtu anakufukuza kule ila utajipiga ban mwenywe kwa mafanikio yetu
Huenda Sterling hatocheza sababu ya ile ban ya match moja aliyopigwa... ila hata mimi binafsi nilipenda apangwe Reece James badala ya Azplicueta.
Yuko fiti mzeeVip kuna mwenye updates kuhusu Pulisic