Huu utakua usajili mzuri sanaChelsea manager Frank Lampard has made £70million-rated Lazio midfield star Sergej Milinkovic-Savic a priority signing if the club’s transfer ban is lifted.
The 24-year-old 6ft 3in player who helped Lazio win the Coppa Italia last season would offer Lampard more options in the midfield area in addition to greater experience to dove tail with some of the younger stars.
Mkuu achana na ulinganisho huu hazard haitaji kufunga na assist awe bora ,ogopa mchezaji anaye tokea kwenye FIFA pro XI Mara kwa Mara,class is permanent,form is temporary
Bangi na maziwa ya mgando haviendani.
Kuna watu wana maajabu kweli!
Ivi leo Mtu anafikia kumlinganisha Hazard na Pulisic? Serious?
Pulisic hawezi kufikia hata robo ya uwezo wa Hazard
Hata hivyo Pulisic ni mchezaji mzuri
Namlaumu sana Klopp kwa kusitisha kumfatilia Pulisic wakati alikuwa katika nafasi nzuri ya kumsajili.
Wakati huo huo unamponda wakati huo huo unamtaka
Hamuna uwezo wa hata kutoa draw na City acheni mawazo yasiyotekelezeka
Heheheh... eti ananibonda. Subiri uone.Sawa tutawaacha kwa points 5 lakini next game Man City anakubonda zinarudi kuwa gape ya points 8 au unasemaje?
Halaf we bro kiswahili kinakusumbua ujueNajua Kuwa Leicester City pumzi itakata kwani kwa Top six ana uhakika wa kumgunga Arsenal tu!
Swali la Msingi
√ Je munataka tumpige Man City ili mukamate nafasi ya Pili? Au munataka nipigwe na Man City muendelee kufukuzana na Leicester kwenye nafasi ya 3?
Ukweli usiofichika hamuna uwezo wa kufukuzana na Timu mbili kwa pamoja (Liverpool & Spurs) but munao uwezo wa kufukuzana na moja kati ya hizo.
Na hapo ni Wazi kuwa munaeweza kufukuzana na kumkimbia ni Man City na si Liverpool kwani Liverpool akimaliza leo ameshapambana na Top six wote ikiwemo Leicester City pia.
Kwahiyo si rahisi tena kudondosha points kwa waliobakia kwa hii round ya kwanza kwani atakuwa amebakisha na:-
November
Crystal Palace (A)
Brighton and Hove Albion (H)
December
Everton (H)
Bournemouth (A)
Watford (H)
West Ham United (A)
But Man City ndiyokwanza hajamalizana na Top Six kwani amecheza na Spurs tu! Kwahiyo sisi tukimfunga na nyinyi mukimharibia basi hawezi kuwakamata tena.
HATA SISI KUMFUNGA MANCITY, AU KUFUNGWA NA MAN CITY HAKUTOTEGEMEA MAOMBI YENU
Siku tukiwa na mechi na man city hakika utarudNisiwe Mnafiki! Sasa ni muda wa kujipiga Ban kwa Muda kwenye huu Uzi
Lazima ijipige bani kwenye disco la reggae wewe unacheza style ya sebene unakata mauno bana
Siku tukiwa na mechi na man city hakika utarud
Hahahahaha kwahiyo mimi ni acid????na badoHuwezi ukavuta bangi hapohapo ukachanganya maziwa ya mgando unaweza kutengeneza tindikali kali kama wewe.
Imagine Ollachuga Oc ndio kichwa chao hapa nowdays baada ya kina Kunguru Mjanja kujiweka pembeni,sasa haya mabehewa unafikiri yatakuwaje????Kwahiyo kusema Chelsea hana uwezo wa kumaliza ligi juu ya Liverpool ndiyo unaita bangi?