Chelseafc hata wakichukua ubingwa hakuna atakayeshangaa kwasababu nikawaida yao kufanya hivyo,lakini timu ya King ngwaba ikichukua ubingwa kila mtu atapigwa na bumbuwazi kwasababu hiyo timu haina nyota ya ubingwa iko kwenye fungu la kukosa! kila mwaka nimsiba kwao hawajawahi kufurahi.Naona mnaanza kuuota ubingwa eti???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33] Manyumbu bhanaaa..
Kila mtu acheze game zake apambane kivyake ,tukutane Mei.......Sisi tukifungwa nyinyi Chelsea itawasaidia nini?
Au ndiyo tayari mumeshajijengea False hope kuwa tukifungwa na Man City ndiyo mutakuja kuongoza Ligi?
Acheni kujidanganya sisi hata tukifungwa na Man City Chelsea haiwezi kumaliza ligi Juu ya Liverpool
Kumbe Pulisic alitolewa kwa sababu ya majeruhi
Hahahahah... Amepata anachostahili.ZAHA amesema kwenye mazoezi alikuwa anatrain jinsi ya kuwatoka Azipuleta na Alonso. Akashangaa amepangwa James aliyempa wakati mgumu kupita.
Mdogo mdogo utaelewa.
City ashinde. Next game tunacheza na City. Tutampunguza yeye.
Kuhusu nyie wala usijali..endeleeni kubaki juu kwa sasa. Time will tell.
Tusigombane kwa ambayo hayajatokea.
Hatumkimbizi mtu yeyote, tunashinda tu, nyie mkifungwa mtajimaliza wenyewe na tutawapita tu iwe Liverpool au Mancity au Leicester city. Kumalizana na top 6 haina maana mko salama, tena epusha mbali, unaweza donolewa na mitimu ovyo mkaishia na nyie kukimbiza wengine. Kwani mwaka jana mlidonolewa na nani? au mlipoteza point 2 kwa timu zipi?
Najua Kuwa Leicester City pumzi itakata kwani kwa Top six ana uhakika wa kumgunga Arsenal tu!
Swali la Msingi
√ Je munataka tumpige Man City ili mukamate nafasi ya Pili? Au munataka nipigwe na Man City muendelee kufukuzana na Leicester kwenye nafasi ya 3?
Ukweli usiofichika hamuna uwezo wa kufukuzana na Timu mbili kwa pamoja (Liverpool & Spurs) but munao uwezo wa kufukuzana na moja kati ya hizo.
Na hapo ni Wazi kuwa munaeweza kufukuzana na kumkimbia ni Man City na si Liverpool kwani Liverpool akimaliza leo ameshapambana na Top six wote ikiwemo Leicester City pia.
Kwahiyo si rahisi tena kudondosha points kwa waliobakia kwa hii round ya kwanza kwani atakuwa amebakisha na:-
November
Crystal Palace (A)
Brighton and Hove Albion (H)
December
Everton (H)
Bournemouth (A)
Watford (H)
West Ham United (A)
But Man City ndiyokwanza hajamalizana na Top Six kwani amecheza na Spurs tu! Kwahiyo sisi tukimfunga na nyinyi mukimharibia basi hawezi kuwakamata tena.
HATA SISI KUMFUNGA MANCITY, AU KUFUNGWA NA MAN CITY HAKUTOTEGEMEA MAOMBI YENU
Cha msingi kila mtu atimize wajibu wake. Yaani kila timu ishinde mechi zake isije tokea timu fulani imefungwa watu wakaanza kusema Chelsea iliwaombea wafungwe.
Simply ulichomaanisha hapa ni kutafuta Sympathy tuwashashangilie kwa sababu mkimfunga City ni advantage kwetu. Teh
Ukweli ni kwamba mkifungwa leo gap linapungua. Yaani utakuwa umemuacha chelsea point 5 tu. Kama hizo unaziona chache sawa.
Sisi tukifungwa nyinyi Chelsea itawasaidia nini?
Au ndiyo tayari mumeshajijengea False hope kuwa tukifungwa na Man City ndiyo mutakuja kuongoza Ligi?
Acheni kujidanganya sisi hata tukifungwa na Man City Chelsea haiwezi kumaliza ligi Juu ya Liverpool
Liverpool hapo kileleni hanipi mashaka kabisa atatoka.
Wa kumuhofia ni Kipara akiongoza ligi ni balaa, itabidi wengine waanze kujiandaa na pre-season.
Mdogo mdogo utaelewa.
City ashinde. Next game tunacheza na City. Tutampunguza yeye.
Kuhusu nyie wala usijali..endeleeni kubaki juu kwa sasa. Time will tell.
Tusigombane kwa ambayo hayajatokea.
ZAHA amesema kwenye mazoezi alikuwa anatrain jinsi ya kuwatoka Azipuleta na Alonso. Akashangaa amepangwa James aliyempa wakati mgumu kupita.
Kivipi yani mkuu?Bangi na maziwa ya mgando haviendani.
Point taken againHata kama leo tutapoteza kwa City (kwani inawezekana) Chelsea haina uwezo wa kumaliza juu ya Liverpool
Chelsea ndiyo timu pekee ambayo imeshanyakua EPL mara nyingi sana kwa miaka 15 iliyopita ikiachwa na Man Utd zaidi ya mara 1 tu.[emoji23][emoji23][emoji23]Nani man u mzeee...Me liverpool damu damu sasa naona watoto wadogo mnataka ligiii[emoji15][emoji15][emoji15] mtakufaaaa
Mkuu achana na ulinganisho huu hazard haitaji kufunga na assist awe bora ,ogopa mchezaji anaye tokea kwenye FIFA pro XI Mara kwa Mara,class is permanent,form is temporaryPULISIC vs HAZARD
Pulisic (all competitions) - 14 games, 5 goals, 5 assists
Hazard (all competitions) - 10 games, 1 goal, 2 assists
Nahisi naweza toa jibu hilo kweliUkiulizwa kati ya City na Liverpool nani unataka abebe ubingwa basi utajibu wa Capital letters kuwa ni MAN CITY
Huwezi ukavuta bangi hapohapo ukachanganya maziwa ya mgando unaweza kutengeneza tindikali kali kama wewe.Kivipi yani mkuu?