Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Kuna mtu hapa anaitwa King Ngwaba alibishana na mimi juu ya ubora wa Norwich. Niliwaambia hakuna timu yenye defense zembe EPL kuliko Norwich sasa wao ndio wameshika mkia kwa kuchapwa 2-0 na timu ambayo haikuwahi kushinda tangu ligi ianze
Sijui waliwafungaje Man City maana tangu wawafunge Man City hawa jamaa wanabugizwa tu
Ebu kwanza tukuulize, nje ya msimu huu, ni lini ulimuona batshuayi akicheza ??? Inaweza kuwa hujawah kumuona zamani..
Nyinyi ndio mashabiki wa chelsea mnaoamini kepa ni kipa bora pale wingereza ila kakosa mabeki tu..
Mnapenda chelsea lakin hamjui mpira kabisa.. leo hii ukimuweka batshuayi kwenye mauzo, hafiki hata paund mil 35...
Dah! Hao ndo ukiongea kidogo anakimbilia kukwambia hujui mpira.Eti chelsea 10. Unaota ww.
Sijawahi kumwambia mtu hajui mpira humu....ingawa ni kweli ya kwamba HAMJUI MPIRA.Dah! Hao ndo ukiongea kidogo anakimbilia kukwambia hujui mpira.
Eti Chelsea 10
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi kumwambia mtu hajui mpira humu....ingawa ni kweli ya kwamba HAMJUI MPIRA.
Sijawahi kumwambia mtu hajui mpira humu....ingawa ni kweli ya kwamba HAMJUI MPIRA.
Katika Arsenal moja kuna hivi viChelsea kumi
Hahaaa! Unafaa kuwa mwanaChelsea huko Arsenal presha zitakuua mr.Dully Jr.Katika Arsenal moja kuna hivi viChelsea kumi
Naona James kampiga Azp benvh leo. Huyu kijana namkubali sanaKIKOSI CHA LEO View attachment 1258506
Nisiwe mnafiki mnacheza mpira mzuri hongereni aise
#TrustInSuperFrankKIKOSI CHA LEO View attachment 1258506