Chelsea inahitaji kushinda mechi ya Valencia ili kumpunguza nguvu na pia kujiongezea pointInatakiwa kivyovyote vile tumpige Valencia au ata draw ili wakikutana wao ajax na Valencia wapambane kivyao..
Alonso anatakiwa kuuzwa, hafai falsafa ya Lampard. Anavuta sana miguu na yuko vulnerable kwa faulu za kijinga jinga. Akikosa bei huyo atolewe mkopo ni hatari kwa Chelsea, atatufungisha magoli mengi hasa kwenye big games. Mimi simuamini kabisa. Magoli mengi yanmatokea kwake aidha kwa faulu amama kwa kushinda kumark au kukabaGame ya leo imemkata Alonso kabisa. Bora lampard aliona akamtoa mapema.
HahahahaWamekurudisha nini, maana ulitekwa..
Mimi ninavyowaona Ajax, kocha wao ndie mzuri. Maana wanavyocheza uwanjani unaona kabisa ni maelekezo ya kocha na vitu walivyofanyia mazoezi kama lile goli la piliAise Ajax ni balaa ..kundi bado gumu mnoo
Achana na Alonso mimi bado nawafikilia hawa Ajax sijui ni watu sijui ni majini?Game ya leo imemkata Alonso kabisa. Bora lampard aliona akamtoa mapema.
Hii Chelsea itakutoa roho kuna siku utapata kiharusi kila unavyoitakia mabaya inakulipa aibuNimeghairi sio 5 tena nshaona dalili tukikazakaza kidogo hata 7 zipo hapa
Achana na mambo ya mitandao wanafikiri mpira ni vita unaweza kucheza faulo utakavyo kisa una kadi ya njano haupewi nyekundu na kama mmepewa kadi nyekundi hakuna kupewa nyingine wakati mnacheza fauloHuenda kupigwa goals mbili za faster pale mwanzoni ndo kulileta majanga.
Anyway mimi binafsi bado sioni kama chelsea ni mbaya. Bado tuna chance ya kucorrect mistakes zetu na kufanya poa.
Huko mitandaoni naona watu wengi wanasema ajax amekuwa robbed kivipi?
Huenda kupigwa goals mbili za faster pale mwanzoni ndo kulileta majanga.
Anyway mimi binafsi bado sioni kama chelsea ni mbaya. Bado tuna chance ya kucorrect mistakes zetu na kufanya poa.
Huko mitandaoni naona watu wengi wanasema ajax amekuwa robbed kivipi?
Afadhali tumemalizana nao vizuri huku tukiwa bado tunaongoza kundi, hao Valencia na Lile tutaelewana nao tu, hata kwa magoli ya mkono tutasonga mbele. Hakuna mtu kwenda Europa hapa
Afadhali tumemalizana nao vizuri huku tukiwa bado tunaongoza kundi, hao Valencia na Lile tutaelewana nao tu, hata kwa magoli ya mkono tutasonga mbele. Hakuna mtu kwenda Europa hapa
Ajax yangetupiga 10 kama sio red cardAise Ajax ni balaa ..kundi bado gumu mnoo
Achana na Alonso mimi bado nawafikilia hawa Ajax sijui ni watu sijui ni majini?
Duh ndo maana walimtoa juve siyo wa kitoto hawa jamaa
Game ya leo imemkata Alonso kabisa. Bora lampard aliona akamtoa mapema.
Hapo siwezi kukataa,jamaa yasingepigwa red 2,na penati tungekula 7.Kiujumla hii mechi ya leo Chelsea wamefeli tu 100%