Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ushatiwa 4 hadi sasa
 
Ndiyomaana sikwenda hata kuangalia mpira niko zangu tu home maana ni kama tayari nilishachezwa na machale...[emoji28]

Chelsea 1 - 4 Ajax [emoji119][emoji3]
 
Kipa na mabeki wanazingua kishwnzi
Chelsea inahitaji zaidi ya miaka miwili na wakiwa wana mwendelezo mzuri sawa na walivyo sasa hivi epl, mbali na hapo Lampard bado ana upepo tu wa muda sawa na alivyoanza Ole Sendeka pale Mwantesa Utd 2018/19 kwa kushinda mechi 11 mfululizo afu akawa vibaya kimatokeo hadi hivi sasa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuhusiana na Strikers, nilimwambia pia Jamaa kuwa bado hatujawa na strikers wa uhakika kama Diego Costa au Didie Drogba pa1 na kupata magoli mengi sababu pia hatuna master class passes za final assists kama Sesc Fabregas.

Jamaa limenipinga weeee....sasa nilichokinena kimeonekana leo hii ... [emoji3]
 
Mkuu punguza jazba, inaonekana huyo jamaa alikukera sana kuonesha mahaba mbele.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…