Uwepo wa pulisic uwanjani ni hatare sana kuliko bwana maringo odoi
Babu sari hakuwa kocha yule alikuwa bashite mmoja mzuri sana sema alikuwa akibebwa sana na miguu ya Eden hazard
Bila hazard babu sari alikuwa mwepesi sana
Hasa anapomove mpira kwenda kwenye goli la wapinzani, utazani jiniMATEO KOVACIC, huenda babu SARRI alikuwa hajajuwa namna nzuri ya kumtumia na kumfanya aonekane kuwa bora zaidi.... Ila SUPER FRANKIE naona amefanikiwa sana katika kumtumia KOVACIC.
He's a master class midfielder, performance ya hali ya juu toka kwake.
Alonso asugue benchi mpaka ahame akitaka, juzi na Man U angekuwepo Emerson ule ushenzi aliotufanyia Alonso usingekuwepo japo kuna mechi Alonos alitupa pointi zote 3Ila kuna yule bwana mkubwa EMERSON, amerejea kutoka kwenye majeruhi lakini shughuli yake upande wa kushoto ilikuwa sio ya mchezo [emoji119][emoji119][emoji119]
Aliwepo kwenye eneo lake pale alipo takiwa kukaba, na alipanda pale alipo takiwa kupanda akasaidie kwenye kushambulia.
HE'S SIMPLY THE BEST
Zouma ni beki matata, akirudi Rudiger Lampard ataumwa kichwaNgoro kante achukue namba ya zouma lakin siyo matheo covasic
Na Mount tutam-mount wapi?KANTE akirudi wacheze 3 katikati
KOVACIC - JOGINHO - KANTE
Willian aliingia deep kabla hajampa mpira tammy ambaye alitoa assist yake ya pili EPL kwa PulisicOllachuga hajui hata goli la pili lilitokana na movement ya Willian? [emoji28]
Ivi tunawezaje kufanyaje vizur wakati tumezuiwa kusajili ni uchawi au nini?
Adui muombee njaa lakin jaman tufike hatua kwenye maombi yetu tuwakumbuke na arsenal pamoja woman United
Kama match ni ngumu basi mason mount anaweza akala bench... yaani lampard akaanzisha viungo watatu.Tena sana aisee. Sipati picha kante akirudi nani atakula bench. Lets wait and see
AZPILICUETA NI JAMBAZI AMBAYE SIJAWAHI MUONA YUKO MAJERUHI
YEYE NI KAZI KAZI, SHUGHULI