interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Apa tujiandae kuitwa majina vibonde, wanawake, cjui nini... kelele zao cunajuaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa mechi haiishi bila penalty [emoji23] [emoji23] [emoji23] tena chache moja.Huu upepo wa penati unawabeba kweli ..
Hongereni.
Wameanza kupiga na hesabu za kubeba ubingwa[emoji23][emoji23][emoji23]Haya ndio mliyoyataka sasa kazi munayo....
Ndo kawaida yao kila wanaposhinda mechi 2 mfululizo. [emoji23] [emoji23]Wameanza kupiga na hesabu za kubeba ubingwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Aise wameshinda watasumbua wiki hii nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usifanye makosa kwenye box bwana pepsi lazima akupitieHili zezeta la mapenati limetuotea tena dah!!!
Kwamba hamjui kama darajani ni uwanja wangu mdogo wa mazoezi natania banaYani mzee, kazi tunayo. Tena si ndogo.
Hivi timu gani kati ya top six inaifikia Man Utd kwa penalty nyingi au hata nusu ya penalty alizopewa Man Utd hadi sasa hivi?Kwamba hamjui kama darajani ni uwanja wangu mdogo wa mazoezi natania bana
Wewe kijana vipi??Wameanza kupiga na hesabu za kubeba ubingwa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa baba tumekubali!Kwamba hamjui kama darajani ni uwanja wangu mdogo wa mazoezi natania bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poor cheltako fc, mnapigwa kwenu mbele ya wake zenu na watoto wenu poor chelwowowo
Chelsea B[emoji23][emoji23]Mwantesa Utd full mziki Vs Chelsea B [emoji1]
Mmeshinda njaaNdiyo mchezo. Huwezi shinda mechi zote.
Sisi hatujui hilo [emoji23] tunachojua tumecheza na ng'ombe fc na tukampigia pale pale kwake hayo ya kikosi b mnayajua nyie na kocha wenu lampardMwantesa Utd full mziki Vs Chelsea B [emoji1]