Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila na nyie chelshit mna mambo. Hivi zapacosta sijui zapa nn, mlimtoa wapi huyu? Maana hilo jina zapa, unaona tu ucholobi, utafikiri bodi yenu walikuwa ni wakanjibahi
 
Zappa aliltwa na conte na mfumo wake wa 3 5 2, lakin wapi .. katika historia ya chelsea zappa ni miongon mwa usajili mbovu..

Zappa ni kama valencia tu, wao ni kukimbia na kutoa cross..
Ila na nyie chelshit mna mambo. Hivi zapacosta sijui zapa nn, mlimtoa wapi huyu? Maana hilo jina zapa, unaona tu ucholobi, utafikiri bodi yenu walikuwa ni wakanjibahi
 
Kwanza ww timu gani tuanze kukutolea maboko ya timu yako..
Ila na nyie chelshit mna mambo. Hivi zapacosta sijui zapa nn, mlimtoa wapi huyu? Maana hilo jina zapa, unaona tu ucholobi, utafikiri bodi yenu walikuwa ni wakanjibahi
 
Kwan cheek ndio anaanza msimu huu,?? karibu ana misimu mi 4 pale chelsea... lakn kiwango chake ni kile kile...
Mi nakubaliana na wewe 100% sijawahigi kuona anachokicheza RLC, yeye na barcley ni kitu kimoja tu hawana utofauti wowote ......... trust mi ngoja arudi majeruhi, watakuja kuelewa tunachokisema. Wasije tu wakasingizia majeruhi ndio yamemshusha kiwango.
 
Sijuagi mnakiona kitu gani kw huyu RLC kwa kweli!. kiukweli utofauti wake na barcley ni sura tu ....... Ngoja apone, mtakuja kumkataa tu humu.
 
Duuh unasema makocha walikua hawamuanzishi na kumbukumbu zangu msimu uliopita kacheza mechi nyingi kabla ya majeraha. Nataka nikuulize Mount anamzidi RLC dribbling skills? Mkuu nakushauri kafanye uchunguzi zaidi nimewafuatilia wachezaji wote kwa umakini kama ni RLC ndio nimemfuatilia zaidi huyu Mount nimeanza kumcheki msimu uliopita. RLC ni mwamba mzee ngoja muda utasema mwisho wa siku utakubaliana na mimi.
 
Nimemuangalia mara nyingi sana.. ndio maana nakeambia, lakin kama ww umemuangalia u tube sawa.. kwa maana u tube hata bakayoko ni mkali kuzid messi
Mkuu youtube tunawaangalia wakina Okocha ambao walicheza mpira miaka ya 90. Sasa hadi hawa ambao tumerahisishiwa kuwaona tuwaangalie Youtube? Nafuatilia mpira zaidi ya unavyodhani. RLC ni mchezaji mzuri hakuna kocha asiye mtaka kwenye timu yake
 
Kwan cheek ndio anaanza msimu huu,?? karibu ana misimu mi 4 pale chelsea... lakn kiwango chake ni kile kile...
Nahisi kuna kitu hujakijua. Cheek ana miaka 23 sasa ivi, kumbuka alicheza Crystal Palace kwa mkopo misimu miwili kabla ya msimu uliopita hapo tunahesabu miaka mitatu toa kwenye umri wake.

Sasa sijui wewe hiyo misimu minne unayozungumzia wewe sijui unazungumzia kipindi ana umri wa miaka 17 ndio ulitaka akapambane na kina Fabrigas na Matic?

Stats msimu uliopita
Mechi--43
Goals--10
Assist--5

Zingatia ni kiungo, halafu amecheza mechi nyingi ng'we ya pili. Kiukweli ubora wa mchezaji hasa kiungo haupimwi kwa magoli ila jaribu kujionea mwenyewe.
 
Ayoze tayari ana Hattrick bado Vardy ila naye kapige mbili nahisi anaweza kuondoka na mpira maana siyo kwa msako huu
 
Mzeee tusubiri tutaona... c anakaribia kupona
 
RLC ana msimu mmoja tu wa Sarri kuichezea Chelsea rasmi 2018/19. Hiyo miaka minne sijui imetoka wapi
Kwa mfumo wa Sarri (conservative football) ilikuwa ngumu kufunga magoli lakini yeye katumbukiza 10 na assists 3
Kwa mfumo wa Lampard wa kushambulia (direct football) bila huruma, RLC anaweza kudouble akafikisha hata 20 goals kwa msimu na yeye bado ni kiungo tu. Sikatai Mount anakuja juu na yeye msimu wake wa kwanza tu mechi 9 tu ana goli 4 maana yake kwa msimu mzima anaweza fikisha magoli 16 hadi 20
 
Acheni utani nyie Ruben anajua,
 
Mkuu youtube tunawaangalia wakina Okocha ambao walicheza mpira miaka ya 90. Sasa hadi hawa ambao tumerahisishiwa kuwaona tuwaangalie Youtube? Nafuatilia mpira zaidi ya unavyodhani. RLC ni mchezaji mzuri hakuna kocha asiye mtaka kwenye timu yake
Kweli kabisa,kuna kipindi tulitaka tumsogeze pale kwa maKING wa London ,mimi binafsi namkubali sana Ruben anajua ....
 
Acheni utani nyie Ruben anajua,
Me mwenyewe nawashangaa wanavyo mu underrated lotfus cheek ngojea jamaa apone sura zao sijui wataziweka wapi ukimtoa giroud hakuna mchezaji yoyote wa Chelsea aliyepiga attrick msimu uliopita wa sari zaidi ya lotfus cheek na ni kiungo hata statistics zake ni nzuri alafu Kuna wajinga wanaomponda.
 
Nataka kikosi Cha Leo kiwe hivi

1.kepa
2.alzipicueta
3.alonso
4.tomori
5.zouma
6.gorginho
7.willian
8.kovacic
9.batchuayi
10.mount
11.Pulisic
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…