Katika washangiliaji wa liver viazi basi wewe ndio rais wao,[emoji23] [emoji23] ukicheza futuhi akili nazo zinakuwa vivyo hivyo.
Na katika mashabiki wa Arsenal mbatata wewe ni mfalme wao. Kajifunze hata kwa Aaron mzee. Hana huu ufala kama wako. He is very respectable pal.Katika washangiliaji wa liver viazi basi wewe ndio rais wao,
Huezi mkuta shabiki hasa wa liverpool anakuwa na akili mbovu kama zako.....jifunze kwa wenzio,unawadhalilisha dogo
Bure kabisa.Eeeh we si unamuona uyo alivyo
Bure kabisa.
Na katika mashabiki wa Arsenal mbatata wewe ni mfalme wao. Kajifunze hata kwa Aaron mzee. Hana huu ufala kama wako. He is very respectable pal.
Arsenal wamechana mkeka wangu
Bure kabisa.
Pepe mlipigwa
Kwa hiyo ShaffihDauda ndie sourc e yako kwa timu za Ulaya?
1. Kwa taarifa yako msimu huu Chelsea ndo team ya kwanza kumfunga ajax. Alikuwa hajafungwa na team yoyote in all competitions.
2. Kwa mara ya kwanza baada ya miaka miwili na miezi Ajax wanashindwa kuscore katika home ground.
3. Chelsea hajafungwa katika previous 9 away games in European competitions including match ya jana. The last time amefungwa away ilikuwa ni Camp Now mwaka mwaka 2018 kwenye 16 bora.
4.
Nikikumbuka zingine nitaendelea kuandika. Ila utapendeza kama ukituletea record za arsenal. Otherwise bora ukae kimya.
Fungu la kukosa kapambane FUTUHI naona una matatizo mengi hata hatuelewani.
Katika haya maelezo niambie pumba ni ipi??Na wewe umeweka rekodi ya kuandika pumba humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona hiyo huiandiki?
Rekodi za BAKU ni mojawapoRecord za Arsenal hazitoshi hapa mkuu,tutajaza sever[emoji23][emoji23]we endelea kuokoteza okoteza vijirekodi unaweza fikia hata robo ya Arsenal
Unasema nini imeniweka nilipo? Umesahau niliifunga shit club?Unakakamaza misuli ya kichwa kutoelewa wakati unaelewa vizuri tu...[emoji23]nadhani hiyo Futuhi ndio iliyokweka ulipo na unarudi ulipotoka soon[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hauoni Pulisic akitoa assist mpaka ligi ya wababe UEFAKama pulisic [emoji51][emoji51]
Unakakamaza misuli ya kichwa kutoelewa wakati unaelewa vizuri tu...[emoji23]nadhani hiyo Futuhi ndio iliyokweka ulipo na unarudi ulipotoka soon[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chelsea alikuwa wa 3 kwenye msimamo wa epl 2018/2019 hata kama asingebea EUROPA lazima angecheza UEFA tu. Acha kujitoa akili.Unakakamaza misuli ya kichwa kutoelewa wakati unaelewa vizuri tu...[emoji23]nadhani hiyo Futuhi ndio iliyokweka ulipo na unarudi ulipotoka soon[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha mkuu utasubiri sana tena sana kwa hilo kutokea,kwani huna timu hiyo......Huyu Dully Jr mwacheni tu, betri zitaisha chaji kama Aroon alivyoishiwa hatumuoni humu tena, maana sisi Chelsea tunaendelea kukata umeme tu