Yeah rotation ni muhimu kuongeza competence kwa kila mchezaji na pia itasaidia kupunguza specialization. Leo hii Jorginho asipikuwepo tutaanza kuwaza nafasi yake atachukua nani
Mimi mtu wa Liver ila nimepitia tu huku kusalimia. Unajuwa Ajax ni wazuri sana tu ila jana nawapa sifa zote Chelsea waliifanya Ajax kuonekana team ya kawaida sana tu. Chelsea walienda kama wababe na team kubwa walicheza kwa kujiamini sana na 3 5 2 ni mfumo unawafit sana Chelsea inawachezaji wanaondana na mfumo huo. Jana Chelsea walikuwa vizuri sana tu nadhani Lampard ana future nzuri kama kocha hakuna uwoga katika uchezaji wao.
Mkuu sokoni lazima tuingie hasa beki mmoja, kiungo mmoja pamoja na kwenye attacking lazima tufanyie kazi hizi nafasi.
Bado unahitaji viungo?Mkuu sokoni lazima tuingie hasa beki mmoja, kiungo mmoja pamoja na kwenye attacking lazima tufanyie kazi hizi nafasi.
Lampard ni moja ya makocha kwenye IQ nzito kabisaZouma jana kanichekesha sana kuna mpira alipanda nao kwa kasi kutoka katikati ya uwanja akakatiza katikati ya mabeki wa Ajax, akapiga chenga akatoa pasi akaingia ndani ya box kuomba assist [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tungepigiwa counter angeanza kulia ana bahati alicheza rafu
Jana Zouma kacheza kwa kujiamini sana hadi raha
Lampard ni mzuri sana kwenye rekodi makosa na kwenda kuyafanyia kazi wachezaji wanaendelea kuwa wazuri zaidi kila siku.
Hapa hata mimi nakubali soka lake linavutia sana akipata na usajili kukazia baadhi ya maeneo moto utawaka balaa damu changa anazo nyingi ni timu ya kukaa muda mrefu anayoLampard ni moja ya makocha kwenye IQ nzito kabisa
Kuna sehemu nilitoa orodha ya watu waliopimwa na IQ kubwa duniani, Lampard ni wa 10 na wa kwanza kwenye mchezo wa sokaLampard ni moja ya makocha kwenye IQ nzito kabisa
Kante,jorginho,ross barkley,loftus cheek,kovacicBado unahitaji viungo?
Beki ndio tatizo
Na attacking pia tunahitaji mchezaji wakua nembo ya timu na awe na uwezo mkubwa pia
Nayo ni rekodi?????!!!!!!The last time that Ajax lost at home and failed to score was August 2017 when the stadium was a different name and Rosenberg won 1-0 in south Amsterdam.
Wapi huko uliposoma mkuu????kwa shigongo auKuna sehemu nilitoa orodha ya watu waliopimwa na IQ kubwa duniani, Lampard ni wa 10 na wa kwanza kwenye mchezo wa soka
VAR imefanya kazi yake na mabeki pia walifanya trick zao kuhakikisha wanakamilisha majukumu yao.Kwahiyo ule mnazi alioupiga haujauona [emoji23][emoji23]alipobaki yeye na goli [emoji1787][emoji1787]au kwa kuwa Pepe ni mchezaji mkubwa kutoka timu kubwa ndio sababu mlikija kutoa povu kwa ile mis.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ThanKS VAR
Mkuu kuna majeruhi wanaweza kutokea. Kiungo hasa defensive midfield yupo Jorginho na Kante peke yake.Kiungo kwa ajili ya nini mkuu?
Mkuu defensive midfield ndio hasa namuongelea. Unajua Kante naye siku hizi anapewa attacking role kwa hiyo anabaki Jorginho katika defensive midfieldKante,jorginho,ross barkley,loftus cheek,kovacicBado unahitaji viungo?
Beki ndio tatizo
Na attacking pia tunahitaji mchezaji wakua nembo ya timu na awe na uwezo mkubwa pia
Batshuay ni moringa mwenye rastaVAR imefanya kazi yake na mabeki pia walifanya trick zao kuhakikisha wanakamilisha majukumu yao.
Batman alifanya makosa akarekebisha makosa. Pepekale alifanya nini?
Kuna sehemu nilitoa orodha ya watu waliopimwa na IQ kubwa duniani, Lampard ni wa 10 na wa kwanza kwenye mchezo wa soka