Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,052
- 27,454
Kwani Lampard ameanzaje tofauti na alivyo anza Sarri!! Siyo nyie mnaosema hamna kitu pale? Siyo nyie mnaokuja kumponda kila siku humu?Umejisahulisha au unauliza hujui tuanzie hapo mkuu??
Bas ni hivi alivyo anza sari si sawa na alivyomaliza ova
King Ngwaba vipi? Ulikuwa umelazwa au vipi?
Wakuu kwani nyie kinawauma nini? Kama ni record uchwara si imetumwa jukwaa la Chelsea, mbona mnataka kuingilia uhuru wa kikatiba wa watu?Chuki ni mbaya sana
TAMMY ABRAHAM
Huyu jamaa kule Championship league alifunga MAGOLI 34 katika MECHI 79
Now amepanda Epl amefunga MAGOLI 8 katika MECHI 9.
Tammy ana 22 yrs
Suarez magoli 77 before 23 yrs
Rooney magoli 94 before 23 yrs
Torres magoli 97 before 23 yrs
Owen magoli 111 before 23 yrs
Lukaku magoli 119 before 23 yrs
Aguero magoli 124 before 23 yrs
Tammy Abraham tunamuona wapi before 23 age?
King Ngwaba nakusalimu🤝
Umeadimika siku hizi. Karibu uwaone vijana wanavyotandaza boli huku.
Ahahahaahah labda kwa hao wengine ila sio kwanguNyie si ndio hamuwajui Hernan Crespo na Gudjohnson hahahahaaaa sasa kama hao wachezaji wa juzi tu huwajui utawajua kina Celestin Babayaro,TAF,Zola,na kina Didier Deschamps nyie Generation ya kina Mason Mount na Odoi ni kwikwi aseeeehhhh
Acheni dharau ninyi mnajua kila shabiki wa chelsea ni wa juzijuziHao mashabiki wa Timu iliyoanzishwa 2005 watawajuaje kina George Wheah Kuwa waliwahi kicheza Chelsea!!!!
Hao waulize Tomori na Mount tu
Ndo shida hapo wanachuki sana na ukiwambia wanadai wanachambwa sasa sijui huku wanafanya nini kwenye thread ya ChelseaWakuu kwani nyie kinawauma nini? Kama ni record uchwara si imetumwa jukwaa la Chelsea, mbona mnataka kuingilia uhuru wa kikatiba wa watu?Chuki ni mbaya sana
Hahaha hivi alisema ni gem za EPL tu au zote kwa ujumla. Maana jumatatu tunakipiga na Ajax tena kwao uko ..
Sasa kwani wanaosema hivyo ni nani????Europa ni mick mouse? FA ni mick mouse? EPL bado mida kidogo tutarud on top na kubeba.
Akuchukie nani mkuu????Wakuu kwani nyie kinawauma nini? Kama ni record uchwara si imetumwa jukwaa la Chelsea, mbona mnataka kuingilia uhuru wa kikatiba wa watu?Chuki ni mbaya sana
Emery ana misimi mingapi Arsenal????Huwa nakasirika sana mnavyopoteza MUDA NA NGUVU kubishana na mashabiki wa ARSENAL na Emery wao tangu aje kila msimu wanatoka mikono tupu.
Tujenge na kukosoana kwa hoja na Mashibiki wa LIVER NA MAN CITY waliotoka na makombe msimu ulioisha. Ndio level zetu
Achaneni na hizo mbarara za Arsenal hatufanani nao.
Hahaha vigoli vya championship vimeingizwa kwenye rekodi tayari aiseeehhhKumbuka Kuwa hao uliowataja hayo Magoli hawakuyafunga Championship kwani hawakuwahi kucheza huko.
Sasa Kama Tammy Abraham ana Miaka 22 ndiyokwanza ana Magoli 8 ya EPL (Kwenye Mashindano mengine sijui ana Mangapi) sasa baada ya Mwaka 1 ili atimize 23 years kweli anaweza kufika japo 40?
Wewe ndio mwendawazimu kwelikweli,na akili zako fupi...kwahiyo KLOPP ni kocha mbovu???Sawa ZUMBUKUKUU
SARI na CONTE walichukua makombe ndani ya msimu mmoja.
Emery ana misimu mingapi?
Hahaaaaa ama kweli ni Povu fcHahaaa ni kwel mkuu hawa dawa yao hakuna kuwaacha yaan kuwakaba maana bad wanajazana ujinga sijui kwavile wameanza kushabikia mpira juzi ww ona vistats wanavyowekeana humu havina kichwa wala kiuno mpk unajiuliza hik nacho cha kupost au ndo ushamba uliopitiliza .
Afuu kingine haka kauzi kao kanaongoza kwa watu wenye mapovu yaan ukiwaswitch kidogo tu unapata povu lakutosha yaan ni kwamba hawawezagi kuvumilia kbs sasa najiuliza kama watapitia kipind kigumu kama cha sis washabiki wa LFC tulichopitia hapo nyuma si watakimbia mpk na kuufuta na huu uzi isitoshe washabik wa hik kitimu wanaonekanaga kipind cha mafanikio tu ,kuna mwingine huku mdogo wangu yeye huwa anashabikia kipind cha ushindi ili ikianza kizingua anajifanya anaipenda barca sio kawaida na hata humu kwenye uzi wao(fan wa cheltako) anatabia hiyo bwana mkubwa ollachuga oc
Yaan hiki kitimu chao tukibaatize tu jina jingine kama walivyo mbaatiza nyumbu now anaitwa Lia Lia fc
Hawa nadhan wawe povu fc
Huyo nilomjibu ni shabiki wa Liver ila nashangaa ana tu element twa ArsenalHuwa nakasirika sana mnavyopoteza MUDA NA NGUVU kubishana na mashabiki wa ARSENAL na Emery wao tangu aje kila msimu wanatoka mikono tupu.
Tujenge na kukosoana kwa hoja na Mashibiki wa LIVER NA MAN CITY waliotoka na makombe msimu ulioisha. Ndio level zetu
Achaneni na hizo mbarara za Arsenal hatufanani nao.
Mkuu kama kero ni yetu sijui nyie kwa nini inakuumiza wewe?Huu Uhuru wa kutoa Maoni ukizidi sana unakuwa ni Kero
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akuchukie nani mkuu????
Na kwa lipi???
Mtu wa LIVERPOOL,MANCHESTER UNITED na ARSENAL hawezi kuchukia chelsea bwana kwasababu hana sababu ya kufanya hivyo....huo ni utani tu wa kisoka na ndio burudani yenyewe kwa sisi mashabiki....sasa haya majukwaa yaliwekwa ya nini kama mnataka mujifungie wenyewe peke yenu mujazane ujinga...
Chelsea inaweza kuchukiwa na watu wa ASTON VILLA maana wao ndio unakaribiana nao kimafanikio....wewe ndio wakuvichukia hivyo vilabu vitatu hapo juu maana ndio vikwazo vyako katika kupata utitle wa England