Kwa virekodi vya kuokoteza hamjambo.....hii nayo rekodi?????Odoi kawa mchezaji wa pili mwenye umri wa 18yo Katika historia ya EPL kutoa assists kwenye mechi 3 mfululizo za EPL tangu Enzi za Owen
Newcastle wana kipa mkuu aisee acha mchezo yaani kipa kawasave sana kulikuwa na goal 3 jana pale basi tu.
Kama mlivyobeba mwaka jana na mwaka juzi mzeebaba......Wakirudi hao wote tunabeba ubingwa.
Sasa umefika hizo game 10 ???ujue nyinyi mna vichwa vigumu sana,mambo madogo mnashindwa kuelewa namna hii khaaaaaYule mtabiri Tambitambi wa game 10 za mwanzo amekimbia siku hizi haonekani. Tukambushe sa ivi tuko game ya 9
Si ndio mzebaba[emoji3][emoji3] mwaka juzi tulibeba FA na mwaka jana tukabeba Europa ...na mwaka huu tutabeba tena ...kama utaki Mesa wembe ..au weka mguu mfukoni...Kama mlivyobeba mwaka jana na mwaka juzi mzeebaba......
Kwa virekodi vya kuokoteza hamjambo.....hii nayo rekodi?????
Nyie si ndio hamuwajui Hernan Crespo na Gudjohnson hahahahaaaa sasa kama hao wachezaji wa juzi tu huwajui utawajua kina Celestin Babayaro,TAF,Zola,na kina Didier Deschamps nyie Generation ya kina Mason Mount na Odoi ni kwikwi aseeeehhhh
Kwani hivyo si ndio munaviitaga mickey mouse cup????Si ndio mzebaba[emoji3][emoji3] mwaka juzi tulibeba FA na mwaka jana tukabeba Europa ...na mwaka huu tutabeba tena ...kama utaki Mesa wembe ..au weka mguu mfukoni...
AiseehhYani Huyo jamaa Kueka Rekodi uchwara hazidiwi!
Usijeshangaa kukuwekea rekodi za mchezaji wa Chelsea aliyepiga Danadana nyingi kuliko wote kwenye Mazoezi.
King Ngwaba vipi? Ulikuwa umelazwa au vipi?Hao mashabiki wa Timu iliyoanzishwa 2005 watawajuaje kina George Wheah Kuwa waliwahi kicheza Chelsea!!!!
Hao waulize Tomori na Mount tu
Europa ni mick mouse? FA ni mick mouse? EPL bado mida kidogo tutarud on top na kubeba.Kwani hivyo si ndio munaviitaga mickey mouse cup????
Leo vipi????kwa hivyo unakili kuwa EPL bado sanaaaaa....
Hebu niambie nani kichwa ngumu hapa. Nimesema tumkumbushe sasa ivi tupo game ya 9. Nani kasema tumefika game 10?Sasa umefika hizo game 10 ???ujue nyinyi mna vichwa vigumu sana,mambo madogo mnashindwa kuelewa namna hii khaaaaa
Wakuu kwani nyie kinawauma nini? Kama ni record uchwara si imetumwa jukwaa la Chelsea, mbona mnataka kuingilia uhuru wa kikatiba wa watu?Kwa virekodi vya kuokoteza hamjambo.....hii nayo rekodi?????
Chuki ni mbaya sanaYani Huyo jamaa Kueka Rekodi uchwara hazidiwi!
Usijeshangaa kukuwekea rekodi za mchezaji wa Chelsea aliyepiga Danadana nyingi kuliko wote kwenye Mazoezi.
Umejisahulisha au unauliza hujui tuanzie hapo mkuu??Mkuu kwani Sarri alikua na mwsho mbaya?
Jumatatu au ni jumanne mkuu?Hahaha hivi alisema ni gem za EPL tu au zote kwa ujumla. Maana jumatatu tunakipiga na Ajax tena kwao uko ..
2011?????? AiseeInawezekana unachokisema kisiwe sahihi. Lampard alisajiliwa Chelsea 2011 kutoka West Ham akiwa na miaka 22 lakini aliwaka miaka yake yote akiwa Chelsea na kuwa mfungaji wa magoli ambaye hajawahi kutokea.
Huyu dogo nilikuwa namuona mchoyo zamani. Lakini ninachokiona sasa ni kitu tofauti sana.
Nilichokiona game yetu ya jana Vs Newcastle.
Hawa jamaa ni wagumu sana kuanzia back line yao kiungo mpaka washambuliaji kiukweli wakati game inaanza nilikua sifikirii kama tutapata clean sheet though nilijua ushindi tutapata. Kiuchezaji kwa kuangalia mfumo wao waliingia na 5-4-1 yan nadhan walijidhatiti kuja kutafuta point darajani kama siyo ushindi basi draw ukizingatia na sisi mfumo tuliotumia 4-3-3 na ndio maana tulimiliki mpira lakini bado ilikua ngumu kuwafunga kwa sababu ya solidness ya back yao.
Upande wetu kwenye backline naona bado kuna mapungufu japo tunazifi kuimarika. Pair anayoitaka Lampard bafo haijapatikana lakini jana Zouma alijitahidi tofauti na siku za nyuma nadhani majeruhi wakipona wanaweza kuwa msaada. Mwisho naomba niwe wa kwanza kusema Barkley auzwe January, CHO anakuja kuwa mchezaji hatari EPL, Pulisic the best is yet to come, wengine wote tunafahamu shughuli yao.
Yule mtabiri Tambitambi wa game 10 za mwanzo amekimbia siku hizi haonekani. Tukambushe sa ivi tuko game ya 9
Shida yako ni kitu kimoja tu! Nilipotaja Youngsters umekariri ni asilimia 100%...
Kwani sijui Kuwa Gerrard alianza kuika Liverpool akiwa youngster na akadumu kwenye Consistency?