Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,143
unakosa hoja unakimbilia utoto utoto mbona unaumia wakati salah amecheza chelsea wewe kama sio mwana epl pita kushoto uwezi jua tunachosema hapa either uwa unaadisiwa game zakoAhahah etty sarah yan umepanik had unakosea kuandk punguza povu ukavae nep.
Ya kwak yamekushnd kazi kufuatlia ya wenzako ndo maan wabongo mnakosa maendeleo coz ya kufuatlia ya wenzen wny maendeleo.
Na hata hvy cwez bshan na mtoto kama ww ambaye bado unavaa pampers na unajkojolea hovy ktandan

Nioneshe katika comment yangu wapi nilipoandika kuwa waliozaliwa 2002 kuwa fan wa hiki kitimu kidogo dhambi,UJINGA HADI UNAMWAGIKIA KWA HIYO WALIOZALIWA 2002 NI DHAMBI KUWA CFC FAN
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha mkuu kuyu DullyJr ni wa kanda maalumu ...kule hawajui tofauti ya R na L ...utasikia "Bhoke rara nikurenge"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unakosa hoja unakimbilia utoto utoto mbona unaumia wakati salah amecheza chelsea wewe kama sio mwana epl pita kushoto uwezi jua tunachosema hapa either uwa unaadisiwa game zako
Umeshashndw ndo unaanz kusem spelling error sema niny wa kanda ya ziwa haujui kutofautisha kat ya l na r kwny kuandk na kuongea hamjui k2 niny back 2 schoolTatizo lenu kubwa sana hapa nyie vitoto mkikosa hoja za kusimamia mnakomaa ktk lugha na makosa ya uandishi hahahaaa hiyo ni spelling error....na hili ni jukwaa la kitimu kidogo cha london na sio darasa la sarufi....
Hahahaaaaaaa
Anelka sikumuelewaga alifunga magoli kiutani uitani na kuna wakati aliongozza EPL kiutaniutani kwa kufunga magoli 19, 2008/09 juu ya Ronaldo 18 na Steven Gerrad 16 na kumfanya kuwa mshindi wa Golden Boot EPL wa pili kwa magoli machache baada ya EPL ya 1997/98 na 1998/99 washindi watatu walifungana kwa magoli 18 kila mmojaOnce upon a timeView attachment 1237591
Mukiambiwa Gunnerz ni chama kubwa hamuamini hahahaaaaaa haya sasachelsea fans, we can’t let this happen. The #GoldenBoy voting is open, and currently Arsenal fans have Guendouzi in the lead with only 100 votes.
YOU CAN VOTE EVERY DAY
Mount isn’t far behind, so do your thing.
Literally takes you 5 secs to vote, without register!
VOTE HERE FOR THE MOUNT [emoji1371] Golden Boy 2019: ecco i 20 finalisti. Vota e partecipa al sondaggio!
AND SHARE THIS MESSAGE WITH YOUR FRIENDS
Vote results: Tuttosport
Huu uchafu peleka kuleee ..sisi hatutaki kujua
Aise kumfananisha Terry na hawa mabeki wa Siku hiz kama uyo VVd ni dhambi kubwa sana ..uyu vvd anakutana na Tammy na Mount ndo wakumfananisha na Terry ambaye hata akina Gerald na teves walipata tabu ...uyu vvd angecheza enzi za akina JT sidhani kama angefika popote pale ...Kna tujamaa Twitter walikua wanajaribu kuwafananisha Terry na VVD. Katikati ya mjadala zikatumwa hizi picha mbili mjadala ukakata hapohapoView attachment 1237589View attachment 1237590
Essien dah ...ilikuwa ni moto sana hii Chelsea, apo sub utamkuta mtu kama Calou, J Cole, Philipe Luis, Ob Mikel badae kidog akaja David Luiz, Torres, Ramires, ..ilikuwa ni balaa..Once upon a timeView attachment 1237591
Wakati Arsenal mtamaliza nafasi ya ngapiNilisema Chelsea mtamaliza nafas ya 10-15
Hiyo nafas mliyokaa ni kwa muda tu,
Najua mtakuja kubisha ila ukweli mnaujua
Baada ya break , ndio mtaelewa namaanisha nini
View attachment 1226162
Mason Mount anashinda. Tupe UTARATIBU WA KUMPIGIA KURA
Ingia hapo upambane na kiitalianochelsea fans, we can’t let this happen. The #GoldenBoy voting is open, and currently Arsenal fans have Guendouzi in the lead with only 100 votes.
YOU CAN VOTE EVERY DAY
Mount isn’t far behind, so do your thing.
Literally takes you 5 secs to vote, without register!
VOTE HERE FOR THE MOUNT [emoji1371] Golden Boy 2019: ecco i 20 finalisti. Vota e partecipa al sondaggio!
AND SHARE THIS MESSAGE WITH YOUR FRIENDS
Vote results: Tuttosport
Mason Mount anashinda. Tupe UTARATIBU WA KUMPIGIA KURA
Nakumbuka mwaka Huo ndio Chelsea ilikuwa imefunga magoal mengi kuliko team yoyote ya epl.ilikuwa Chelsea imefunga magoal machache sana ni 3 the rest walikuwa wanapigwa goal 7,4,5,6,8 na kipindi hiki hiki wigan alipigwa goal 8 na chelsea.kipindi hicho kilinifanya niwe rasmi mchabiki wa Chelsea mwanzoni nilikuwa naipenda Chelsea lakini sikuwa mshabiki kindakindaki.Hiki kikosi kilikuwa Bora Sana.Once upon a timeView attachment 1237591