Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hAYA WAZEE WA dARAJANI, KIKOSI CHA LEO
Cech, Bosingwa, Ivanovic, Luiz, Cole, Romeu, Lampard, Meireles, Anelka, Torres, Malouda.
Subs: Turnbull, Mata, Mikel, Ferreira, Kalou, Sturridge, Alex.
 
Goooaaaaaaaaaaaaaal, Torres anapachika la pili , dk ya 10....
 
Kwel kaka nimeamin ww n jeshi la mtu mmoja....hongera zako...m nilikuwa napita tu kukusabahi...

Kumbe unapenda kuwa online kama Manure hawachezi? Wacha vikongwe hawa wamepata mdondo kwenye cowshed khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Game tunacheza vizuri sana, nafasi nyingi za kufunga lakini umakini tuongeze tutafunga mengi tu.
 
Kumbe unapenda kuwa online kama Manure hawachezi? Wacha vikongwe hawa wamepata mdondo kwenye cowshed khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Karibu DQ uangalie soka la kiume....naona "watoto" wenu wanakoswakoswa mabao kule France.
 
Kipindi cha pili kimeanza, Paulo Ferreira kaingia badala ya Ashley Cole.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom