interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Huyu barckely anafaida gani? Kucheza hadi kupiga penalty haujui Willian yupo matatizo tupu
Hili kund niliwaambia ni gumu , kuna hatari mkashika mkia au tukawapokea EuropaAROON anaendeleaje huko huko na kubinya nyanya zetu zile za kikubwa? Maana bila shaka anaombea matokeo yabakie hivi hivi au Chelsea ifungwe [emoji23]
Sisi tukija huko tunachukua kombe endelea kuomba tuwe wa mwisho hatuna mchezo na europa unatujua vizuriHili kund niliwaambia ni gumu , kuna hatari mkashika mkia au tukawapokea Europa
Hilo kund lina vichaa watupu
Lille sio kilaza kama wengi mnavyodhani
Hili kund niliwaambia ni gumu , kuna hatari mkashika mkia au tukawapokea Europa
Hilo kund lina vichaa watupu
Lille sio kilaza kama wengi mnavyodhani
Ndio nashangaa maajabu mpya angekosa jorgihno au Willian tungeona kawaida maana ndio wapiga penalty, hilo li Barckely sijui limetoka wapiLakini siku zote penalty huwa anapiga Jorginho.
Mkuu humpendi kweli Bakelei [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio nashangaa maajabu mpya angekosa jorgihno au Willian tungeona kawaida maana ndio wapiga penalty, hilo li Barckely sijui limetoka wapi
yeye na zouma ni mashine za kuturudisha nyuma wanaumia wachezaji wazuri Rudiger,Mount ,Kante Hawa wasiojua wanatamba tuMkuu humpendi kweli Bakelei [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Valencia wamewapiga kwenuUshindi ni mhm kuendelea kuboost morale ya mechi ya liverpool
Ligi bado sana kati ya mechi sita imechezwa mechi moja tu.Na msijidanganye kuwa mtaenda kupindua meza Spain...nyie ndo basi tena europa ligi inawaita