Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Si ukapost kwenye Arsenal
 
Kuna siku niliwaambia kuwa Washabiki wa Chelsea munapenda kuokota habari kwenye vijiblog vya kuokoteza mukabisha!

Ona sasa kocha gani atakayepanga kikosi kama hivyo?

Muwe munaangalia Source za Kuchukua habari.
Ni kosa la kimtandao wewe hiyo ni website ya uhakika. Ingekua ya kuokota basi isingekua na wachezaji sahihi wa Chelsea.
 
Yani Wolves hawa ninaowajua mimi leo wamekuwa wananyanyaswa hivi Nyumbani kwao! [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tammy tayari ameshaprove kuwa ni striker mpaka sasa..

Kilichobakia ni kuwa na Consistency tu kwani ndiyo jambo gumu zaidi katika maisha ya soka.

Marahii ushindani wa Golden Boot unaweza ukawa Mkubwa sana kama wengine hawatopata injury au kupoteza Consistency

1) Aguero
2) Sterling
3) Pukki
4) Mane
5) Salah
6) Auba
7) Tammy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…