Hivi huu ndio ushabiki, basi sisi wengine hatufai kuwa mashabiki kwa mtindo huu
I'm prepared for the hate but I'll still say it. Fikayo Tomori is equally good on the ball as David Luíz and that includes long balls/through balls. Coming from someone who has been watching him a lot and I have said it before.
https://twitter.com/CFCBrian_/status/1168137870793510912
Huyu dogo akicheza msimu mmoja tu atakuwa the best CB hata kumzidi Rudiger
Soma maoni ya mashabiki hapa
Bado ungeweza kutoa maoni yako bila ya kejeli na dharau. Huyu ni mdogo anakua. Luiz hakufikia alipofikia overnight, naye alikuwa akakomaa with time. Tomori kwa walioona uchezaji wake in the near future atakuwa better than Luiz na hii sio joke ni facts. Ila kwa wasiomfuatilia kama wewe mtaendelea kumuona takatakaWacha kumkosea heshima Luiz mbele ya hiyo Takataka
Bado ungeweza kutoa maoni yako bila ya kejeli na dharau. Huyu ni mdogo anakua. Luiz hakufikia alipofikia overnight, naye alikuwa akakomaa with time. Tomori kwa walioona uchezaji wake in the near future atakuwa better than Luiz na hii sio joke ni facts. Ila kwa wasiomfuatilia kama wewe mtaendelea kumuona takataka
Halafu hapa kuna watu wanamsifia wqakati kwa sehemu kubwa yeye ndie anayewabebesha mabeki mzigo wa kukaba. Jorgninho bado ni mzuri ila sio kwenye role ya kukaba. Kwenye pasi za haraka haraka ni m zuri ila sio long balls au through bals hapo bado anajifunzaMaurizio Sarri has revealed that he needs N'Golo Kante to stay close to Jorginho when defending as the Chelsea star is 'not very good in open spaces.'
"With the ball on the other side, he has to stay very close to Jorginho. Otherwise it's a big problem for us.
"Jorginho can cut out passes from the opposition, but he's not very good in the defensive phase in open spaces. So I think we need Kante very close to him."
BABU SARI ALISHAWAHI KUSEMA JORGINHO SIO MZURI KWENYE UKABAJI MPAKA ASAIDIWE NA NGOLO.
SASA NI KITU GANI JORGINHO ANAKIFANYA KWA UFANISI? PASI ZENYEWE HAZIZALISHI MAGOLI
Hongera kwa bandiko zuri nakushauri acha roho za korosho huko kwenye jukwaa lenu roho inakuuma Mustafi kuendelea kubaki arsenal na anavuta 90k Sterling ,unafurahi Miki kaondoka alikuwa analipwa 200K ,sasa wachezaji unataka walipwe $1 ndio roho yako iridhike ?au wanunuliwe bure? pesa haitoki mfukoni kwako maumivu ya nini?acha vijana walipwe waliamua kucheza soka na wewe ungekuwa mchezaji, hizo pesa walizolipa chelsea ni ndogo wangelipa hata 300m€Mara ya mwisho golikipa ghali dunian kepa kupata clean sheet kwenye English premier league (EPL) [emoji1484]
-
[emoji666]Jurgen Klopp alikua hana kombe lolote toka ajiunge na Liverpool sasa anayo mawili
[emoji666]Toronto Raptors walikua hawana NBA title hata moja hivi sasa wanayo
[emoji666]Adriàn golikipa wa Liverpool alikua hajawahi kushinda kombe lolote katika maisha yake ya soka sasa analo
[emoji666]Xavi Hernandez alikua hajashinda kombe lolote kwa ngazi ya ukocha akiwa na Al Sadad
sasa analo
-
Unaweza kuona ni muda mrefu sasa umepita [emoji16]Ila Bilbao mmejua kutupapasa aise €80 million ni nyingi mno!View attachment 1197585
Mbona povu mkuu , tatizo nini hasa ,humu tunataniana ,wewe ushajaa povuHongera kwa bandiko zuri nakushauri acha roho za korosho huko kwenye jukwaa lenu roho inakuuma Mustafi kuendelea kubaki arsenal na anavuta 90k Sterling ,unafurahi Miki kaondoka alikuwa analipwa 200K ,sasa wachezaji unataka walipwe $1 ndio roho yako iridhike ?au wanunuliwe bure? pesa haitoki mfukoni kwako maumivu ya nini?acha vijana walipwe waliamua kucheza soka na wewe ungekuwa mchezaji, hizo pesa walizolipa chelsea ni ndogo wangelipa hata 300m€
Awali mlisema akipona tomory mtatisha,sasa hivi mmebadili gia angani,Wanasema Tomori akicheza na Rudger watatengeneza partnership nzuri kuliko rudger na zuma