Stats zipi. Kumbuka sio kila stats data inamfanya mchezaji kuwa mzuri, kuna key stats. Jo mwaka jana alivyoanza kaanza vizuri lakini hapo katiklati labda kwa sababu ya uchovu hakuwa mzuri kabisa mpaka mechi tatu za mwisho ndipo akafufuka tena na kucheza vizuri sana mpaka Chelsea ika claim nafasi ya 3. Particulalry from Dec to April Jo hakuwa mzuri hata kama stats zinampendelea kwa sababu yeye ni key person akichoka akafanya blunder ndio maana Chelsea haikufanya vizuri tangu Dec. pamoja na bad form ya Alonso lakini pia Jo alikuwa so tired na wakati Fulani hata Sarri alikir kuwa Jo anachoka kwa sababu kila mechi alikuwa anacheza. Jo wa msimu huu at least kaanza vizuri regardless ya error niliyo-highlightIt happens to anyone na mm sijalaumu mtu. Ila nataka uangalie stats za msimu uliopita kwa mildfielders.
Angalia key stats unazozisema wewe. Maana kama hauna stats zinazoeleweka unakuwaje mchezaji wa maana?Stats zipi. Kumbuka sio kila stats data inamfanya mchezaji kuwa mzuri, kuna key stats. Jo mwaka jana alivyoanza kaanza vizuri lakini hapo katiklati labda kwa sababu ya uchovu hakuwa mzuri kabisa mpaka mechi tatu za mwisho ndipo akafufuka tena na kucheza vizuri sana mpaka Chelsea ika claim nafasi ya 3. Particulalry from Dec to April Jo hakuwa mzuri hata kama stats zinampendelea kwa sababu yeye ni key person akichoka akafanya blunder ndio maana Chelsea haikufanya vizuri tangu Dec. pamoja na bad form ya Alonso lakini pia Jo alikuwa so tired na wakati Fulani hata Sarri alikir kuwa Jo anachoka kwa sababu kila mechi alikuwa anacheza. Jo wa msimu huu at least kaanza vizuri regardless ya error niliyo-highlight
Stats za nini kwanzaAngalia key stats unazozisema wewe. Maana kama hauna stats zinazoeleweka unakuwaje mchezaji wa maana?
Maumivu ya zile ngumi tatu zimeisha naona!Casper schmeichel(Leicester), Vicente Guaita(Crystal palace) na Jordan Pickford(Everton) kwa pamoja wameruhusu magoli 6 tu! ndani ya mechi 3.. jumla ya thamani yao ni €49 millions.
-
Kepa ameruhusu magoli 7 ndani ya mechi 3 na ikumbukwe tuliuziwa kwa thamani ya €80 millions.
Kweli Wajinga ndio tuliwao
Mbaki kununua wachezaji wa £ 8M tutaona matokeo. Mechi tatu zisikupe kiwewe, subiri mechi 10 tuongee vzuriCasper schmeichel(Leicester), Vicente Guaita(Crystal palace) na Jordan Pickford(Everton) kwa pamoja wameruhusu magoli 6 tu! ndani ya mechi 3.. jumla ya thamani yao ni €49 millions.
-
Kepa ameruhusu magoli 7 ndani ya mechi 3 na ikumbukwe tuliuziwa kwa thamani ya €80 millions.
Kweli Wajinga ndio tuliwao
Spurs anakusubiri we jishebedue tu hapaCasper schmeichel(Leicester), Vicente Guaita(Crystal palace) na Jordan Pickford(Everton) kwa pamoja wameruhusu magoli 6 tu! ndani ya mechi 3.. jumla ya thamani yao ni €49 millions.
-
Kepa ameruhusu magoli 7 ndani ya mechi 3 na ikumbukwe tuliuziwa kwa thamani ya €80 millions.
Kweli Wajinga ndio tuliwao
AS Roma wanamtaka Batshuayi, Lampard anamtaka Batshuayi
Lampard on the crossroads
AS Roma wanamtaka Batshuayi, Lampard anamtaka Batshuayi
Lampard on the crossroads
Mason Mount na Barkley wameitwa kikosi cha England kitakacho cheza na Cossovo na Bulgaria
Tusubiri droo za Eufa Leo. This is where we belong. Nilipoanza kuishabikia Chelsea mara nyingi inafika fainali, nusu fainali, au robo fainali. Akina Aaron wanapiga kelele lakini wanacheza EUROPA ambayo hata timu wanazocheza nazo majina hayajulikani