Waache Haters walete dharau lakini sisi Chelsea tunajivunia kuupiga Mwingi tu hata kama hatushindi.
Lampard ni Gineus wa Pressing kuliko kocha yeyote wa EPL.
Mbona msimu huu timu zitatukoma kwa Kupress.
Na maneno yako sio sheria mkuu... Itategemeana na jinsi matokeo mazuri mtayopata.Kuna watu hata wakimbie vip ikifka december watakuw nyuma ya chelsea kwa point kadhaa
Mark my word
Waache Haters walete dharau lakini sisi Chelsea tunajivunia kuupiga Mwingi tu hata kama hatushindi.
Lampard ni Gineus wa Pressing kuliko kocha yeyote wa EPL.
Mbona msimu huu timu zitatukoma kwa Kupress.
Bado nina imani na hili chama.!
Utulie mechi mbili zisikupe kiwewe. Ligi ndo imeanzaTuwe wakweli, kwa timu hii hiyo TOP FOUR tutaisikia kwenye bomba tu - huu ndiyo mshahara wetu wa kufukuza fukuza makocha, kila anayekuja anakuja na philosophy mpya yaani kuanza moja.
View attachment 1185035
Mchezo na Man U, sikujali matokeo kwa sababu timu ilicheza vizuri sana, silly errors tu ndizo zilitucost
Mchezo na Liverpool zile errors ziliondoka nikadhani sasa tumerudi normal angalau kuanza safari ndefu ya kupigania top 4
Ila mchezo wa jana hata Chelsea ingeshinda na lile bao moja bado ningeirate Chelsea very poor tofauti na tulivyofungwa 4-0 na Man U WHY?
Wachezaji walicheza OVYO OVYO KABISA has wafuatao
Jana Jorginho alitakiwa apumzishwe na pale wangemuweka Kante na Barkley angeanza pembeni ya kulia au kushoto kwa kubadilishanana Mount
- Azpilicueta - kiwango kilishuka
- Kante - hakucheza kwenye form yake
- Jorginho - alidrop sana, huyu na Azpi ndio waliotengeneza mteremko kwa Leicester city kutawala mpira kipindi cha pili
- Pulisic - hakucheza vibaya ila alicheza chini ya kiwango hasa baada ya 25mins
- Tammy - aliingia na hakuleta impact kubwa
- Willian - bado yuko likizo
- Kovacic - kazidiwa pumzi
Ni kweli kaka, ila back four yetu inaninyima matumaini kabisa!! hapo katikati kuna tobo....wacha tuone Rudiger na Alonso wakirudi..Utulie mechi mbili zisikupe kiwewe. Ligi ndo imeanza
Hivi ndo huwa vinawagawa kwenye jukwaa lenu huko. Sisi hatuna upumbavu kwma huo
Alonso hawezi kupata namba tena maana Emerson yupo katika kiwango cha juu. Tena nyuma hatuko wabovu labda mbele ndo hatuna striking force. Udhaifu wetu ni katika kuzuia counterattack tunapokuwa tunashambuliwa. Maana when you press high like Chelsea is currently doing, the fact is that you may be harmed on counterattack. Labda kwa mbele kuna tatizo kubwa kwa striker. Giroud hawezi kucheza mipira ya chini. Tammy talented ila EPL anahitaji muda kuimaster na inaweza kumchukua hata msimu mzima.Ni kweli kaka, ila back four yetu inaninyima matumaini kabisa!! hapo katikati kuna tobo....wacha tuone Rudiger na Alonso wakirudi..
Kwahiyo unakataa kuwa Hatuupigi mwingi au?
Ha ha ha
Hahaaaaaaa
Kwa mchezo wa jana Giroud alicheza vizuri kilichotokea hakupata service, hata lile goli la Mount passi ilitoka kwa Giroud, Tammy akicheza nafasi ya Giroud hatulii anabehave kama winger kuna mmoja hapa alisema nami naunga mkono. Giroud is the best player maker kwa striker tulionao. Issue ni kwamba labda kocha aanze kumjaribu Batshuayi.Alonso hawezi kupata namba tena maana Emerson yupo katika kiwango cha juu. Tena nyuma hatuko wabovu labda mbele ndo hatuna striking force. Udhaifu wetu ni katika kuzuia counterattack tunapokuwa tunashambuliwa. Maana when you press high like Chelsea is currently doing, the fact is that you may be harmed on counterattack. Labda kwa mbele kuna tatizo kubwa kwa striker. Giroud hawezi kucheza mipira ya chini. Tammy talented ila EPL anahitaji muda kuimaster na inaweza kumchukua hata msimu mzima.
Ila nyuma Zouma na Christensen kwa mechi hizi mbili wameonyesha ukomavu. Akija Rudiger tutaimarika zaidi
Giroud ni striker mzuri sana kwa mipira ya juu, anahitaji crosss nyingi toka kushoto, kulia na hata through pass toka kati - Je alipata service yoyote? jibu hapana.Kwa mchezo wa jana Giroud alicheza vizuri kilichotokea hakupata service, hata lile goli la Mount passi ilitoka kwa Giroud, Tammy akicheza nafasi ya Giroud hatulii anabehave kama winger kuna mmoja hapa alisema nami naunga mkono. Giroud is the best player maker kwa striker tulionao. Issue ni kwamba labda kocha aanze kumjaribu Batshuayi.