Ukitaja makipa wanne bora EPL no De Gea, Allison, Ederson na Kepa. Akina Pickford na Schemichael wanafuata. Huyo Leno hata top 6 hayupoLeicester najua hamtaniangusha
Ayoze Perez
Tielsman
Vardy
Madsson
Praet
Chelsea mnatokaje hapa kwa mfano ....njooni mniambie mnachomokaje ikiwa kipa kepa
Unajidanganya. Na utapotea hapa jukwaani kwa juma zimaSisi washabiki wa leicester city tushajiandaa kuchukua 3 points on sunday.
My prediction: Chelsea 1-2 leicester city.
foxes never quit,always the same.
Kweli alibet ndo mana akawapa penalty in extra time.Penalti ya Tammy Abraham kipa wa Liverpool alivunja sheria mpya ya FIFA na yule refa na VAR yake sijui ilikuwa na kazi gani
View attachment 1182521
The UEFA clarification of the rules is certainly not clear and will do little to ease the pain of Chelsea fans recovering from a cruel Super Cup defeat to Liverpool.
Sheria mpya ya FIFA ambayo ilianza kutumiak tarehe 1 June 2019 inamtaka Goal keeper kuacha sehemu ya mguu wake mmoja kwenye white line ya goli wakati mpigaji anapiga mpira
Yule refa alibet Liver ishinde
Ebu kubali kwamba mlishindwa na si kutanga kutafuta excuses. Mlivyofika golini mlifunga ngapi zikakataliwa?Mkuu wale wamama toka mechi inaanza mpaka inaisha walikua hawaishi kuonyesha mahaba yao na Liverfools. Yote kwa yote madogo walipambana masaa mawili.
Basi useme kama siyo Refer kutoona kwamba Adrian alikuwa mbele ya msitari mngechukua super cup?
Weka head to head arsenal vs Chelsea hapa
Weka All trophies ,Arsenals vs Chelsea/totenham
We jamaa si umesoma nursing?Akikujibu Namuandikia Muajiri Wangu (DED wa Halmashauri X) barua ya Kuacha Kazi.
Wee steve ni Nyangulo au Kurianga, Mimi ni LandiisKweli alibet ndo mana akawapa penalty in extra time.
Hapo umepatia wala hakuna anayebisha, wachambuzi wengi waliorank waliweka hivyo ila wachache walimuondoa Degea mwaka jana 2018/19 kutoka nafasi ya kwanza kwenda ya tano kwa sababu ya blunders nyingi alizofanya mwaka janaUkitaja makipa wanne bora EPL no De Gea, Allison, Ederson na Kepa. Akina Pickford na Schemichael wanafuata. Huyo Leno hata top 6 hayupo
Hata mimi mkuu...Mimi kama shabiki wa Chelsea nimeridhika na kiwango cha timu yetu, hata tukishika nafasi ya 10 Sawa, lampard ni kocha.
Vijana wanaupiga mwingi Sana PNC 1
Hapo umepatia wala hakuna anayebisha, wachambuzi wengi waliorank waliweka hivyo ila wachache walimuondoa Degea mwaka jana 2018/19 kutoka nafasi ya kwanza kwenda ya tano kwa sababu ya blunders nyingi alizofanya mwaka jana
Ila pia naona kwa maoni yangu binafsi Ederson amekuwa bora kwa sababu ya ubora wa Man city, akiwa kwenye timu zenye defense mbovu kama Chelsea ya mwaka jana ange-flop tu