Joginho angekuwa anapiga zile penetration pass kama fabrigas ingependeza sana. Kwa pass za kulia, kushoto, nyuma yuko vizuri sana.
Kwa nini isiwe jambo Dogo mkuu. Game ilikuwa tough pande zote ..
Ila mwishowe mshindi anakuwa moja tu ...
Sisi tumekubali tumeshindwa, ila wengi wenu mulijua mtashinda kirahisi sana. Yani gemu ingeisha mapema tu kabla ya dkk ya 70[emoji3][emoji3]
Wengi wa Liverpool fans walifika hatua ya kusema mutapata goli 4+ lakini mambo hayakuwa ivyo, ndio maana nikasema mpira wa ku assume sio mpira ..
VVD beki bora kabisa amekiri na kusema ilikuwa tough gemu na hawakutegemea...
Enewei mimi mwenyewe huwa na assume sana tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chuki binafsi tu. Kwamba wao hawauoni ubora wa Kepa ni sisi tu ndio tunaouna ubora wake.Unadhani Kwanini wanamtarget Kepa tu?
Ana risk sanaYea inawezekana ikawa ivyo ila kwenye penati zinazoamua nani awe bingwa ..itakuwa ni risk sana ...ila ni mpango mzuri anafanya na itafaa kuwapa confidence madogo..
Sisi Gini alikosa Tuta against Man City tukanyamaza! Lakini nyinyi Mumeona bora Mumtukane Mchezaji wenu.
Azipiculeta huwa anapiga penati za kibabe angepewa badala ya abraham
Contrary to realityKati ya assurance ambazo huwa siwapi Liverpool ni kufunga magoli mengi, forwards wetu siyo clinical finishers, kati ya nafasi 4 goli ni 1, makosa ni mengi na kuna culture ya kila mmoja kutaka afunge yeye.
Hivyo mshabiki yeyote anayedhani ni rahisi kwa Liverpool kufunga magoli mengi atakuwa siyo mtazamaji wa mpira. Chances tunazotengeneza ni nyingi sana.
BTW kumwanzisha OX, Milner na Hendo wote kwa pamoja haikuwa health decision.
Waache tu hasa Aroon ana stress nyingi kwa sababu ya Baku. Njia pekee ya Arsenal kuingia mashindano ya UCL ilikuwa ni Baku tukawafanyiziaArsenal fan ndio wanaoongoza kumponda Kepa. Aroon na wenzake wanalijua hili.
Contrary to reality
Ktk wafungaji bora watatu wa EPL mwaka jana, wawili wanatoka Liverpool
Mkuu wale wamama toka mechi inaanza mpaka inaisha walikua hawaishi kuonyesha mahaba yao na Liverfools. Yote kwa yote madogo walipambana masaa mawili.Penalti ya Tammy Abraham kipa wa Liverpool alivunja sheria mpya ya FIFA na yule refa na VAR yake sijui ilikuwa na kazi gani
View attachment 1182521
The UEFA clarification of the rules is certainly not clear and will do little to ease the pain of Chelsea fans recovering from a cruel Super Cup defeat to Liverpool.
Sheria mpya ya FIFA ambayo ilianza kutumiak tarehe 1 June 2019 inamtaka Goal keeper kuacha sehemu ya mguu wake mmoja kwenye white line ya goli wakati mpigaji anapiga mpira
Yule refa alibet Liver ishinde
Karma ilimtafuna huyu dogoYani refa Dem juu ya kuwa kuna VAR uwanjani kaamua kuwafikisha Chelsea Matuta kwa Makusudi kwa kutotaka kuangalia VAR
Ata mimi niliwaza ivyo kabisa ..ila kaputeini some time anakwamaga ..yeye akishaweka mpira tu ata hawazi wala kumwangalia kipa anapiga unastukia goli [emoji23][emoji23][emoji23]
Refer ile penati dhid ya Frunkfart japo alikosa ila nilicheka sana ...
Le kaputeiiin Azp....[emoji123][emoji123][emoji123]
Yupo sahihiChelsea can challenge for Premier League title, says Tammy Abraham