Haukumbuki mbege ulizokuwa unatuletea humu kabla ya fainal ya Europa baada ya final utatokemea kwa kuwa unajua ka team kako maturity ni zero ,ulibadilika kama kuku mwenye mdondo ,tunapoongelea ubora wa team usipite kwenye page ya Chelsea anavyo vikombe vitatu Vya ulaya nenda huko Norwich ndio saizi yenuChelsea ni kakilabu ka pombe
Msimu huu mnashuka daraja
Basi ligi isichezwe akabidhiwe tu kombeubingwa ni wa MANCHESTER CITY PEKEE
Chelsea itaishangaza dunia msimu huu...tunaanza wkend hiiHiki kipindi ambacho chelsea amefungiwa ndicho cha kusafisha utando wote timu ianze upya na new generation. Timu haitacheza kwa pressure kwani malengo ni kucheza europe league kuingia top four it will be success for the blues.
Hivyo kama lampard ameona asafishe timu haina tatizo ni muda wa kuandaa kizazi cha dhahabu
Sisi hautashangaa Chelsea yetu inasemwa vibaya hata na washabiki wa arsenal ambao furaha ya makombe walisha sahau ,msimu uliopita walitambaa mwisho wakatukimbia ,forever blue tukiwakilisha London kimataifa zaidiChelsea itaishangaza dunia msimu huu...tunaanza wkend hii
subiri atakabiziwa mwisho wa msimuBasi ligi isichezwe akabidhiwe tu kombe
Wewe mwenyewe unajua inapozungumzwa timu kubwa LONDON inatajwa timu gani ila mapenzi,ujeuri na ubishi ndio vinakufanya ujitoe ufahamuTeam yenu nzima isiweza kuchukua kombe lolote miaka nenda rudi ,kinachonishangaza mshabiki wa team ya hovyo hovyo kama arsenal anawaita mabingwa wa Europa na third runner EPL wabovu wakati team yake Uefa sijui msimu wa ngapi huu ,utasubiri sana kuweni serious ARSENAL na WASHABIKI wake SERIOUSLESS
Uchochoro huu..katuchoma sana huyu kijana mwenye mguu mmoja mfupi na mwingine mrefu"Nyakati mbaya kwenye maisha yangu ni ya Brazil kupoteza dhidi ya Ujerumani (mabao 7-1). Lakini niliuona ubora wa Mesut Ozil, na labda kama nikiondoka Chelsea basi nitataka kucheza pamoja na Ozil." aliwai kusema David Luiz mwaka 2016.
[emoji838][emoji837]View attachment 1175480
Ukubwa upi ?kitimu ambacho hakifahamiki ulaya kina ukubwa gani ?Wewe mwenyewe unajua inapozungumzwa timu kubwa LONDON inatajwa timu gani ila mapenzi,ujeuri na ubishi ndio vinakufanya ujitoe ufahamu
David Luiz completed 41 through balls last season, more than any other player. Just imagine him playing against a high line with Aubameyang and Pépé on the last man. £8M isn’t bad business at all, i’ll take it.Uchochoro huu..katuchoma sana huyu kijana mwenye mguu mmoja mfupi na mwingine mrefu
Sasa chelshea nayo ni timu ya kujiweka mbele za watu nayo ushangilie....hako ni katimu kadogo sana hapo england sawa na blackburn tuUkubwa upi ?kitimu ambacho hakifahamiki ulaya kina ukubwa gani ?
Apambane kwanza na astonvillaSasa chelshea nayo ni timu ya kujiweka mbele za watu nayo ushangilie....hako ni katimu kadogo sana hapo england sawa na blackburn tu
Unaongea vulituko gani nani anaijua Arsenal ulaya yupi ?hadi Leo ukiulizwa legend wa arsenal ni nani utamtaja yupi kwa kushinda nini? Uliza Steven Gerald anakumbukwa Liverpool?Drogba chelsea? Team ambayo haijabeba uefa haina legend ni kituko bado ,muulize Thiery, Fabrigas ,Vanpersie ,Overmas walikimbia arsenal kwa sababu gani katimu ka hovyo hovyo hakawezi beba kombe lolote ulaya ,umeshawai kuona mchezaji wa arsenal akipewa dhamana ya ku present kikombe final usiku wa ulaya ?katimu ka hovyo hovyoSasa chelshea nayo ni timu ya kujiweka mbele za watu nayo ushangilie....hako ni katimu kadogo sana hapo england sawa na blackburn tu
Apambane kwanza na astonvilla
Timu hata uwanja haina
Unaongea vulituko gani nani anaijua Arsenal ulaya yupi ?hadi Leo ukiulizwa legend wa arsenal ni nani utamtaja yupi kwa kushinda nini? Uliza Steven Gerald anakumbukwa Liverpool Team ambayo haijabeba uefa haina legend ni kituko bado ,muulize Thiery, Fabrigas ,Vanpersie ,Overmas walikimbia arsenal kwa sababu gani katimu ka hovyo hovyo hakawezi beba kombe lolote ulaya ,umeshawai kuona mchezaji wa arsenal akipewa dhamana ya ku present kikombe final usiku wa ulaya ?katimu ka hovyo hovyo
Nimeshangaa sana anavyotokwa povu huyo jamaa duhHili povu la kleasoft hahahaaaaaa hiyo haigeuzi ukweli kuwa wewe na chelsea yako bado sanaaaaa kufikia level za arsenal ndugu.....ww ni underdog zinapokusanywa timu 5 kubwa hapo england
Duh!!!!!!!Watazuiwa na makalio yako!
Arsenal fan huwa wanafanya ushabiki kabla ya ligi ndio season pekee wana furaha, wakianza kutumbukiziwa magoli wanapoteaHaukumbuki mbege ulizokuwa unatuletea humu kabla ya fainal ya Europa baada ya final utatokemea kwa kuwa unajua ka team kako maturity ni zero ,ulibadilika kama kuku mwenye mdondo ,tunapoongelea ubora wa team usipite kwenye page ya Chelsea anavyo vikombe vitatu Vya ulaya nenda huko Norwich ndio saizi yenu