Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Breaking | L'Équipe report that Chelsea defender David Luiz is seeking to force a move to Arsenal. More follows.

David Luiz's agent........

Kia Jorrabchian.(Arsenal fan lia lia)

Kwa bajeti ya £45m tunaweza tununua Chelsea nzima
How on the earth you leave Priyanka Chopra for Amber Ruty?
 
Thank you for your contribution. You are not yet to be the best in London.
 
Breaking | L'Équipe report that Chelsea defender David Luiz is seeking to force a move to Arsenal. More follows.

David Luiz's agent........

Kia Jorrabchian.(Arsenal fan lia lia)

Kwa bajeti ya £45m tunaweza tununua Chelsea nzima
Watu ambao hawaoni iwezekano wa kupata namba msimu huu ndo mnawalilia? Aisee hata kuingia top 6 kwenu itakuwa tabu sana
 
False hopes
 
Watu ambao hawaoni iwezekano wa kupata namba msimu huu ndo mnawalilia? Aisee hata kuingia top 6 kwenu itakuwa tabu sana
Hata iweje mkuu. Ndio ana mapungufu yake ila kuondoka katika kipindi hiki itatusumbua sana.

Zouma kamletea balaa anaona atashindwa kupata namba.
 
Nyie ambao hamwezi kufikia hata nusu ya valuation ya mchezaji anayecheza Celtic!?
Unaona sasa ambacho hujui ,ungeuliza ,usajir sio kununua nyanya, mlisema tuna 45, now tumetumia 150+ , huyo dogo ni injury tulikuwa tunamsikilizia ,

Unashindwa kujiuliza why tulipe 72 ndio tushindwe 25
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…