Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Yeah keshauzwa ila katika mkataba tuna buy back clause. So kama watamuuza sasa ivi watapata faida ila sisi tukimuhitaji tutampata kwa £40M.Na mimi nilitaka nililete hili huku, hivi Chelsea waliisha muuza Nathan, pesa tamu eh!
Juzi umecheza na city na kwa kiwango chako chote umeshindwa kushinda wakati city alicheza chini ya kiwango. Au mulitaka mukacheze Anfield labda mungeshinda[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahah Na ninawasubiri Tar 14 kwenye Super cup niwanyooshe vizuri na lile pazia lao la kusagia unga mashineni KEPA ukipiga tu imooo
SaneMngeanza na Gardiona kwanza aliyewazarau na kuwachezeshea kikosi cha pili. Ninyi mkikomaaa na senior Players . Na bado anachukua kombe kwenu pamaoja na senior players zenu
Duu hii sasa dhihaka jamanDalili mbaya kwa chelsea hii
Manchester utd
Odd 1.5
Chelsea
Odd 4.05
Wataalamu wanakwambia Chelsea msimu huu ndan ya mech 10 kama atakuwepo ndan ya top 6 bas atabeba EPL
Aisee kweli wanaweza chakazwa hawajamaaDalili mbaya kwa chelsea hii
Manchester utd
Odd 1.5
Chelsea
Odd 4.05
Wataalamu wanakwambia Chelsea msimu huu ndan ya mech 10 kama atakuwepo ndan ya top 6 bas atabeba EPL
AbsolutelySaliba chooses us over Spurs
We reject Coutinho who got thrown at us
Poch rings Coutinho, he rejects them
David Luiz forcing a move to a UEL club even when we don’t want him and Chelsea beat us for CL
Were the biggest club in London, don’t let anyone say otherwise