Ngwaba nimezungumza na wote wawili na hata wale wenye tabia kama hiyo, Sorry kwa kuumizwa ila bado ungeweza kujibu mapigo kistaarabu zaidiBefore today Mimi nilishawahi kutukana popote ndani ya Hii Forum?
Sasa ujue kama Mimi sipendi matusi kumtukana yeyote, na wala sipendi kuwa insulted kwa mtu yeyote, Bali huyo Fanboys mwenzako ndiye asiyejuwa ustaarabu wa watu wengine.
Kwavile aliyeanza ujinga ni Mshabiki mwenzako wa Chelsea ndiyo umemnyamazia Kimya sio? Ukaona Matusi yapo kwa Mtu wa pili aliyejibu ujinga wa Mshabiki mwenzako?
Watu waliokuwa Biased kama wewe ni Hatari kwa Dunia yoyote ile.
Lengo kuu la ushabiki ni kutengeneza marafiki na sio maadui, sasa kwa matusi haya kweli tunaongeza marafiki au maadui?Hicho Cheti Cha Ujinga aliyenipa ni Mamayako baada ya Kutumia ijinga wangu Nikamgonga.
Kuwa na Heshima na Watu wewe Mimi Sijawahi Kumvumjia Mtu heshima humu mitandaoni.
Huwa tunaleteana tu challenge za Kimitandao lakini sio Kuvunjiana heshima.
Hebu acha kunizoea Mimi nabishana na wengi humu kimasihara lakini sio kuitana majina mabaya na kudharauliana.
Hebu kuwa na adabu Bwanamdogo.
Watashindana, tunahitaji sub ambao wana quality sawa na starting XIWhat Lampard will be looking to fix in the final preparations before United game..
- Defending from set pieces
- Emerson or Alonso. Who starts?
- Who gets dropped for Kante? Kovacic or Jorginho?
- The striker situation, who starts?
- Mount or Barkley?
#CFC
Haya tuanze kuyawaza mwisho wa msimu ujao. Msimu huu tukubali kutumia kilichopo.Watashindana, tunahitaji sub ambao wana quality sawa na starting XI
We kiazi unashabikia timu gani?[emoji23]
Everton wameshaona uchochoro wa kuingia top 6 msimamo wa ligi ni spot ya Chelsea hahahhaha
Dah
Mkipata nafasi ya EUropa msimu ujao mtakuwa mmetisha sana
Moise Kean, Sigurdson, Richarlison na Bernad watafanya mkashindwa kupata position ya kuwapeleka Europa hahahahaha
[emoji87]
Hao tumewazoea hawatupi tabu yeyote, huu msimu tuta prove wengi wrong.Wengi wanaichukia Chelsea kwa sababu imetoka kwenye timu ndogo na ndani ya miaka 15 ikazipindua wale waliokuwa wakijiita timu kubwa kwa sababu ya yale makombe ya mababu zao
Walisema ni nguvu za soda watagonga mwamba tu lakini Chelsea iliendelea kusonga mbele na makombe liwe EPL, FA, UCL mickey mouse cup yote sisi tunazoa na hatujivungi kama wale wengine wa mtaa wa jirani.
Alikuja Sarri na ubovu wake wa kuwa mfahidhina wa formation tukachukua Europa na nafasi ya tatu kwenye ligi hao wal;itabiriwa mema na manabii wa uongo wakaishia Europa
Unakumbuak mwaka jana walisema kwa ujasiri kuwa namba 6 inatuhusu, tukawaprove wrong under the worst manager
Chelsea bana hata wakinipa hiyo timu na umbumbumbu wangu wa kufundisha football lakini nitatwaa tu kikombe klwa sababu ndio utamaduni wa darajani bana
We kiazi unashabikia timu gani?
Wakati Chelsea tunatafuta nafasi ya EL unashindwa kuwaza wewe utakua unapambana usitoke nje ya top ten. Huyo Everton unayemtaja sijui atakutana na Chelsea pekee msimu mzima?[emoji23]
Everton wameshaona uchochoro wa kuingia top 6 msimamo wa ligi ni spot ya Chelsea hahahhaha
Dah
Mkipata nafasi ya EUropa msimu ujao mtakuwa mmetisha sana
Moise Kean, Sigurdson, Richarlison na Bernad watafanya mkashindwa kupata position ya kuwapeleka Europa hahahahaha
[emoji87]
Halafu akumbuke kuwa Everton kwa sababu ya bajeti wao wanavizia makapi halafu watatukutaje jamani, ushabiki mwingine unatakiwa uishie chumbaniWakati Chelsea tunatafuta nafasi ya EL unashindwa kuwaza wewe utakua unapambana usitoke nje ya top ten. Huyo Everton unayemtaja sijui atakutana na Chelsea pekee msimu mzima?
Usijitoe kwenye equation its doesn't concern you. Bro we the same
Katimu kauchochoroniHaka Kajititimu kadogo kalichoanzishwa 2004 kanajiona katimu kakubwa eti ! ππ
Lakini Katimu kadogo kanako wanyima usingizi!,kwanza uliwai wapi kusikia kuwa mtoto akizaliwa atabaki vilevile bila kukua,kwataarifa yenu Epl Kuna watoto wawili ambao ni Chelseafc na Man City kwasasa wamekuwa watu wazima nawamekua na nguvu kubwa kuzidi kaka zao waliotangulia kuzaliwa,kakazao wameishiwa hoja wamebaki na majungu plus historia kuwa eti enzi zao nawao walikuwa wababe,sawa hatukatai lakini enzi zenu zilishapita wapisheni vijana wawanyoshe.Haka Kajititimu kadogo kalichoanzishwa 2004 kanajiona katimu kakubwa eti ! ππ
Mtoto mdogo wa miaka 14 anayepata mahitaji yake yote kama chakula bora, mavazi mazuri, malazi mazuri, usafiri bora, tiba nzuri na za kuaminika, elimu bora, na malezi bora, anaishi kwa amani na furaha kuliko mtu mzima maskini, asiye na uhakika wa milo miwili, mwenye elimu duni, ambaye hana hata uwezo wa kujilipia nauliHaka Kajititimu kadogo kalichoanzishwa 2004 kanajiona katimu kakubwa eti ! ππ