GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,870
- 18,598
unawezaje kumlinganisha Barkley na Pogba.?Pogba sio professional ni msanii tu, afadhali ya Barkley ana nidhamu na anajituma, room for growth are open for him but for Pogba, hapo mpira unaishia
Acha kupoteza muda na wachezaji ambao hata team ya taifa hawaitwi mcTominay ndio mchezaji gani huyo ?anacheza Taifa lipi?profile ya Barkley sio ya kulinganisha na vitotoBarkley amweke nani benchi pale?
Midfield ya Man U ni Pogba-Matic-McTominay
Barkley kwa kiwango alichoonesha hapo Chelsea hawezi mweka benchi Scott McTominay
Barkley kiungo ambae kukaba majangaAcha kupoteza muda na wachezaji ambao hata team ya taifa hawaitwi mcTominay ndio mchezaji gani huyo ?anacheza Taifa lipi?profile ya Barkley sio ya kulinganisha na vitoto
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Hulivyosema Barkley hajui kukaba umeshaonesha ufatilii mpira kwa hiyo Haina aja yakubishana na wewe.
Hizi formations za 4-2-3-1 na 4-1-4-1 nadhani ndio zile ambazo huwa hazina wingers, defenders 4 defensive MF 2 attacking MF 3 na striker mmoja na ile ya 4-1-4-1 = defenders 4, register 1 na MF 4 na striker mmojaYaani sisi Chelsea tuna timu nzuri Sana ebu angaliaView attachment 1155602