Yeah mason mount yuko vizur sana
Kuna yule tomori nae naona yuko poa
Abraham n batshuay jana walikuwa wachoyo kila mmoja anataka kufunga ili aonekane
Namba ya Giroud iko given, kati ya Tammy na Batshuaiy sioni wa kumbench Giroud. Baada ya misimu Tammy labda. Batshuaiy ana kitu cha kuproove msimu huu. Japo kwa Chelsea tuliyonayo nafikiri Lampard atatumia sana 4 1 3 2. Kwa mfumo huo Batshuaiy atapasa muda wa kuchezaWasipoangalia, mzee mzima OG atawapiku namba
kweli pale kwa striker bado na sijui tutafanyaje na huku tumepigwa burn ya kusajiliIla kiukweli katikati tumekaa sawa, Kante, Joginho, Loftus Cheek, Kovacic, Barley, na Mount Moson ataanza kupigania first team choice. Mbele ndo bado hapajaeleweka hasa striker
Kuna watu wana wivu na Chelsea, waliisha shangilia kwa kupigwa BAN na kuondoka kwa Hazard na sasa wanasubiri Chelsea iangukie pua
Wengi wa hao wanatoka
- Liverpool
- Man U na
- Arsenal
Ross Barkley amegeukia kuwa garasa hapo ChelseaIla kiukweli katikati tumekaa sawa, Kante, Joginho, Loftus Cheek, Kovacic, Barley, na Mount Moson ataanza kupigania first team choice. Mbele ndo bado hapajaeleweka hasa striker
Ross Barkley amegeukia kuwa garasa hapo Chelsea
Ila ukimweka Man U lazima atinge first eleven
Hivi ni hao hao akina Pogba-Matic walioiweka Man Unite no. 6 msimu uliopita au ni wengine?Barkley amweke nani benchi pale?
Midfield ya Man U ni Pogba-Matic-McTominay
Barkley kwa kiwango alichoonesha hapo Chelsea hawezi mweka benchi Scott McTominay
Barkley kiungo ambae hata kukaba hawezi amweke nani benchi kati ya Scott na Pogba?Hivi ni hao hao akina Pogba-Matic walioiweka Man Unite no. 6 msimu uliopita au ni wengine?
Hulivyosema Barkley hajui kukaba umeshaonesha ufatilii mpira kwa hiyo Haina aja yakubishana na wewe.Barkley kiungo ambae hata kukaba hawezi amweke nani benchi kati ya Scott na Pogba?
Jibu swali kwanza wacha siasaBarkley kiungo ambae hata kukaba hawezi amweke nani benchi kati ya Scott na Pogba?
Jibu swali kwanza wacha siasa
Sio pekee yao ila walikuwemo!!Kwa hiyo Pogba na Matic pekee ndio walioiweka namba 6 Utd sio?
Kuwa namba sita sio kigezo cha kusema kuwa MUFC haina viungo wazuri, huyo Barkley msugua benchi hapo na bonge la garasa hawezi pata namba mbele ya ScottSio pekee yao ila walikuwemo!!
Kuwa namba sita sio kigezo cha kusema kuwa MUFC haina viungo wazuri, huyo Barkley msugua benchi hapo na bonge la garasa hawezi pata namba mbele ya Scott
Sasa Pogba umlimganishe na Barkley? Pogba midfield pale Juventus alikuwa anakupigia goli tisa za ligi wakati midfielder tu, anaweza kuchezesha timu, Mzee wa miassist msimu huu kacheza bila morale ila ana assist tisa za EPL pale Old Traford sasa unaanzaje kumfananisha na garasa la kiingereza Ross Barkley?Pogba sio professional ni msanii tu, afadhali ya Barkley ana nidhamu na anajituma, room for growth are open for him but for Pogba, hapo mpira unaishia