Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Naangalia upangaji wa kikosi wa Lampard katika mechi ya kirafiki na Bohemian naona anajaza viungo wengi katikati. Nahisi anaweza kutengeneza timu yenye viungo wengi na wazuri.
Kocha mkuu alikua midfield mzuri tu na pia kocha msaidizi alikua midfield mzuri pia. Hapo unategemea timu itakayotoka hapo itakuaje?View attachment 1150873
Mkuu unatumia game hii kama kipimo?
King kwa ubishi hujambo...kwani hao vijana umewaona kua hawana ubora. Yaani Robertson alikuaje kipindi cha nyuma kabla hajaaminiwa.Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Pre-season haina maana?
Sijui wewe pre season unaanza kuziskia leo!?Kipimo Cha kwanzaa lampard Leo katoa sare
Kuna watu ndo wametoka likizoni hawakucheza. Mason Mount, James Leece, Tammy Abraham wote hawa hujawaona kwa sababu ndo wametoka kuziwakilisha timu zao za taifa under 21. Hapo bado Odoi, Loftus Cheek na Christensen ambao wameshaanza kupata exposure EPLHawa ndiyo vijana munaopiga kelele kuwa watumiwe katika kipindi hichi cha Transfer Ban?
Sijui wewe pre season unaanza kuziskia leo!?Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Pre-season haina maana?
Najua umeuliza ukijua jabisa ni kitu ambacho hakiwezekani. Labda nikwambie hapo nimeongelea upangaji wa kikosi na siyo wachezaji waliopangwa. Katika wote waliorudi kutoka kwenye mikopo yao na kutoka Academy watachukuliwa wachache tu kuwa backup ya kikosi kilichomaliza msimu uliopita. Atakua ni manager mshamba kutegemea kikosi kama hicho kikapiganie Super Cup na kina Fabinho na Milner. Kikosi hicho kikutane na Pep mwenye mashine za maana.Hawa ndiyo vijana munaopiga kelele kuwa watumiwe katika kipindi hichi cha Transfer Ban?
Mimi nimesema hazina maana?Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa Pre-season haina maana?
Mimi nimesema hazina maana?
Before 2007 Winger hakuhesabiwa kuwa ni mfungaji (Ndiyomana Kina Beckham, Overmas na Ashley Young) walipendwa ingawa hawakuwa wafungaji hatari)!
Lakini baada ya kuibuka Mtu kama Arjen Robben na Ribery wakafanya Mapinduzi ya Wingers , Sasahivi Winger ni Mfungaji kimajukumu hasa!
Winger Cross umeshapitwa na Wakati kwani kupiga Cross sasahivi ni kazi ya FULLBACKS na sio winger tena.
Siku hizi Winger asiyefunga goli 20+ per season in all competitions huyo bado hajafikia vigezo vya Winger shindani. Refer Salah, Mane, Hazard, Mbappe, Neymar and co.
Nilimaanisha mechi kirafiki zipo kwa ajili ya kupima ubora wa wachezaji pamoja na kujaribu mfumo wa kiuchezaji. Hazipo kwa ajili ya kupima ubora wa kocha, rejea post ya niliye mquote. Mwenyewe alicomment kama mechi za majaribio ndio kipimo tosha kwa Lamps.Rejea post yako niliyoiquote uniambie ulimaanisha nini?
Jf naona mashabiki wehu wanatubeza wana Blues
Nawambia tujutane mwisho wa msimu
Mtatuona tumenyanyua kwapa na trophies yeyote sasa nyie endeleeni kupiga ramli
kwani si kombe????Hiki sio kikosi cha kunyanyua EPL wala UCL sana sana labda Carabao
kwani si kombe????
Ndugu, huko kwenu mna mickey mouse cups ngapi? kama 40 hivi na wenzako walisota sana kuzipata hizoMickey Mouse cup