Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Chelsea appoint Frank Lampard: Blues legend confirmed as Maurizio Sarri successor on a three-year deal | Goal.com Tanzania
Frank Lampard has been confirmed as the new Chelsea manager, returning to the club where he became a legend as a playerwww.goal.com
"Appointing a manager with so little experience is a big risk, despite his status as a club legend".

Broo embu tulia kwanza, wakati Zinedine Zidane anaenda Madrid alikua na experiance ipi ya kutisha??
Mawazo ya hao Pundits hayana tofauti na wewe
RONALDO pekee alitosha kumpa mafanikio inexperienced Zidane.
Sasa unganisha na watu wa kipindi hicho kama kina BALE, KROOSE, CASEMIRO, BENZEMA, RAMOS na MODRIC.
Then linganisha na inexperienced Lampard na kikosi chake cha kina CHO, Loftus-Cheek, Luis, Alonso, William, Pedro, Giroud, Higuan, Pulisic, Azip, Kovasic, Joginho and co.
Nataka nione jinsi lampard anavyomfunga klopChelsea yetu inegeuka team ya majaribio kumleta legend Lampard na Drogba kuifundisha Chelsea haswa kwenye kipindi kigumu kama hiki cha zuio la kujiimarisha ni kuirudisha team nyuma ,hakuna good achievement yoyote aliyoifanya Lampard kupewa ukocha Chelsea huko alikotoka ,makocha wote hawawezi kuwa zidane yule jamaa ni bigger mind na tofauti sana .Mimi binafsi sikupenda sarri ball ila bora kitu kuliko kukosa kabisa na ndiko tunaelekea ni bora angepewa team Nuno wa wolves ,kwa makusudi kabisa tumeamua kuwaiga man u kurudi nyuma .
Nataka nione jinsi lampard anavyomfunga klop
Kashakuja kujiharibia CV Yake kwamba aliprove failure alipokuwa Chelsea
KabisaaaLampard kasema club haina target ya kuwa kwenye TOP 4 kwa sababu Chelsea tayari ni club ya top 4
Have you been set the target of the top four?
No they haven’t and they don’t need to. It is clear that we are a club that can be in the top four. I know the club and the standards. It where we need to be.
Kwa ambaye atakuwa hajakuelewa mawazo yako atakuwa na CHUKI moyoni.
Hakuna kitu wachezaji wanapenda kama KOCHA unakuwa sehemu ya maisha yao kuanzia kufanya wote mazoezi.
Pia wachezaji wanamuheshimu sana Kocha ambaye alishakuwa na mafanikio makubwa sana kwenye club husika.
Mchezaji unakuwa mpole anapokea na kufuata maelekezo na unatamani ufikie mafanikio ya kocha katika club.
Wachezaji watamuheshimu sana Lampard, uwepo wake utaamsha hamasa ya ushindi na mashabiki pia.
Lampard tupo nyuma yako
Kwa Lampard naona ni heri hata tungebakiwa na Sarri Masigara au tumchukue Ole Sendeka wa Man Utd [emoji87]Hongereni wakuu kwa kupata kocha mpya.
Tunategemea atatuletea mema. Lets him the best.
Tunategemea atatuletea mema. Lets wish him the best.
Kajihakikishia kabisa....hongera kwake..Lampard kasema club haina target ya kuwa kwenye TOP 4 kwa sababu Chelsea tayari ni club ya top 4
Have you been set the target of the top four?
No they haven’t and they don’t need to. It is clear that we are a club that can be in the top four. I know the club and the standards. It where we need to be.
Kuna Firmino, Allison ..hongera pia kwao..[emoji122][emoji122][emoji122]Kaingia peke Yake kwa jitihada zake coz magoli yote kafunga yeye waliobakia wanazunguka tu uwanjani hawana msada wowote wa kuipeleka timu fainali.