Wakuu naona sasa hivi kila kocha anahusishwa na kuinoa Chelsea, kuanzia Lampard, Nuno, Ten, Holland, mpaka na Benitez
 
Watu wa Liverpool bana, sawa ikitokea Bahati mbaya nitawapongeza



Kiuhalisia wachezaji wanaosthiki kuwemo kwenye kinyag'anyiro cha uchezaji mpaka sasa ni Messi, Silva na Mane. Ila Africa Cup na Copa America zinaweza kuweka mambo wazi zaidi.

Bali binfasi nashindwa kufahamu hili debe la VVD na Ronaldo.
Mane amekua akiibeba Liverpool kwa msimu huu bila ya chenga kabisa.
 
Wakuu naona sasa hivi kila kocha anahusishwa na kuinoa Chelsea, kuanzia Lampard, Nuno, Ten, Holland, mpaka na Benitez

Gracia, Southgate, allegri, kila kukocha anaongezeka
Hii ndio staili ya kuuza habari ulaya
 
Uyu Sarri mpumbavu kweli.. anataka kuondoka na Emerson na mtoto wake Joghihno. Ni bora asepe na uyo Joghihno, Emerson beki la kazi lile...
 
Ivi uyu mjamaa kumbe ni Portugese aise ..najuaga ni Mspain dah!
 
Whatever amefanya nini bado hastahili kuwepo hata top 10. Ni sawa na akina Mbappe hao unaweza kuwaweka kwenye list nao kisa ni top scorer kwenye ligi yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…