Wakuu naona sasa hivi kila kocha anahusishwa na kuinoa Chelsea, kuanzia Lampard, Nuno, Ten, Holland, mpaka na Benitez
 
Watu wa Liverpool bana, sawa ikitokea Bahati mbaya nitawapongeza

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png


Kiuhalisia wachezaji wanaosthiki kuwemo kwenye kinyag'anyiro cha uchezaji mpaka sasa ni Messi, Silva na Mane. Ila Africa Cup na Copa America zinaweza kuweka mambo wazi zaidi.

Bali binfasi nashindwa kufahamu hili debe la VVD na Ronaldo.
Mane amekua akiibeba Liverpool kwa msimu huu bila ya chenga kabisa.
 
Wakuu naona sasa hivi kila kocha anahusishwa na kuinoa Chelsea, kuanzia Lampard, Nuno, Ten, Holland, mpaka na Benitez

Gracia, Southgate, allegri, kila kukocha anaongezeka
Hii ndio staili ya kuuza habari ulaya
 
Uyu Sarri mpumbavu kweli.. anataka kuondoka na Emerson na mtoto wake Joghihno. Ni bora asepe na uyo Joghihno, Emerson beki la kazi lile...
 
Watu wengi wanamtaja VVD kwa sababu tu kachukua UCL na player of the year lakini anasahaulika Barnardo Silva ndani ya msimu tu makombe aliyochukua plus individual awards km zingekua ni points basi angemuacha mbali huyo VVD.

>Community Shield
>League Cup (Carling)
>FA cup
>EPL
>UEFA Nations League
^Man City player of the season
^UEFA Nation League player of the tournament

Anastahili kuwepo hata top 3. Mtakaosema hizo ni Micky Mouse Cup someni upya nilicho andika mwanzo.View attachment 1124217
Ivi uyu mjamaa kumbe ni Portugese aise ..najuaga ni Mspain dah!
 
Mkuu umechefukwa kumsikia Lewandowski? Unafahamu amefunga magoli mangapi msimu huu? unajua kama amebeba domestic double msimu huu tena akiwa Man of the match kwenye cup final? Unajua kama ni Top score bundesliga msimu huu? unajua kama ameshika nafasi ya pili kwenye chart ya Champion league top scores msimu huu? Unataka lipi jengine?
Whatever amefanya nini bado hastahili kuwepo hata top 10. Ni sawa na akina Mbappe hao unaweza kuwaweka kwenye list nao kisa ni top scorer kwenye ligi yao?
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom