OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Sarri bado makubaliano ayajafikia mwisho.Kwahiyo na Sari kaondoka?
Pauni million 130Hazard kauzwa kwa Bei gani wakuu?
eden kimario: Cash iliyolipwa ni Paundi 88.5M na addons ziko nyingi inaweza kuzidi paundi 150m. Hizi ndio latest gossips za huo mkataba wa Hazard kwa sababu bado ni siri. Hizi taarifa zimeripotiwa na media kubwa kubwa ikiwemo BBCPauni million 130
Imekuwa ni furaha sana kwa fans wa timu za Liverpool, Arsenal, Man United n.k kwa kuondoka kwa msumbufu aliyewatesa mabeki zao.
Ila hope tutamtengeneza msumbufu mwingine atakayewasumbua.
Good Luck Eden Hazard.
Mkuu chelsea hii hashindwi kumuunda Odoi au Pulisic ili kuja kuwatoa jasho mabeki kama VVd, Bissaka, na makipa kama akina Allison wajipange kupata tabu.Hahahahaha
Mtamtengeneza na nini? Hazard mlichukua Lille hukoo
Mkuu chelsea hii hashindwi kumuunda Odoi au Pulisic ili kuja kuwatoa jasho mabeki kama VVd, Bissaka, na makipa kama akina Allison wajipange kupata tabu.
#tabuNiileile
Kiufupi hakuna beki hapo wa kuchukua ballon de orHivi umepata hata vionjo vya takwimu za Virgil van Dijk msimu huu? Hivi unajua kuwa Van Dijk anapigiwa chapuo kuchukua Ballon D'or ?
Hivi umepata hata vionjo vya takwimu za Virgil van Dijk msimu huu? Hivi unajua kuwa Van Dijk anapigiwa chapuo kuchukua Ballon D'or ?
Majeruhi wanapona haraka pale league zinaposimama Team inakuwa out of out of pressure recovering inakuja chap chap watakacho miss hao wachezaji ni pre season kwa wengine match fittiness inaweza kutu cost mechi za kwanza ila kwa Ng'olo ata akiwa 80% anakipiga vizuri, pia FA kama kawaida yao mechi tano za kwanza utakuta Tunacheza na Top 6 wawili hapo ndipo tatizo linapoanzaDah Reece Jamse nasikia ni majeruhi, Kante Ngolo naye vile vile, Cheek Loftus naye pia yumo, Rudiger ndo ajulikani atapona lini, Barkley ndo Uyo mchomeshaji, Odoi naye tena ndo IVO majeruhi, Hazard ndo hatunaye tena, uku Juve wanamtaka Emesorn, Alonso nao Inter Milan wamedinda, daaaah haya ni baadhi ya matatizo yanayoikumba club yetu pendwa.
Ila hope tutavuka salama kabisa..
#weWillmakeThemSuffer.KTBFTFH [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Vyovyote itakavyokuwa yawezekana walitoa maneno ambayo hayakukufurahisha kwa timu yako ila mi nawatambua kama wachambuzi.Kwani hao nao wachambuzi? Huyo Shaffih Dauda ndiye aliyesema Simba SC itashika Mkia kwenye Makundi ya ACL na katu haitavuuka kwenye Makundi na haitoshinda Mchezo hata mmoja.
Na haohao ndiyo waliosema Liverpool haitoboi kwa Bayern, ikisha wakasema haitoboi kwa Barcelona.
Hao ni Wababaishaji tu na Wachafuzi. Sio Wachambuzi kabisa.
Atatangazwa Juve siyo mudaDah kwa iyo Sarri na yeye kaamsha?
VVD leo kashindwa mbele ya Ronaldo men na kuacha Kombe la kwanza kabisa la UEFA Nations League iende Ureno, hapo unasemaje MAN?
Anaweza kuwepo kwenye lists lakini Ronaldo pekee ndie mwenye makombe makubwa Zaidi ya moja. Huyo VVD ana UEFA tu
Angeshinda leo UEFA Nations League angepata bila ushindani.
Let wait and we will seeMakombe makubwa unamaanisha hili la UNL au?
Nadhani umesahau kuwa Rinaldo ameshaondoshwa kwenye reli za Ballon D'or tokea last sezon alipohama Madrid licha ya kuwa alishinda CL.
Baada tu ya ushindi wa jana discussion za Ronaldo pekee kuwa kwenye nafasi nzuri ya kutwaa hiyo nishani imeanza rasmiMakombe makubwa unamaanisha hili la UNL au?
Nadhani umesahau kuwa Rinaldo ameshaondoshwa kwenye reli za Ballon D'or tokea last sezon alipohama Madrid licha ya kuwa alishinda CL.
Baada tu ya ushindi wa jana discussion za Ronaldo pekee kuwa kwenye nafasi nzuri ya kutwaa hiyo nishani imeanza rasmi
Nataka watu wajue, makombe makubwa yana points nyingi sana kwenye ushindani, na mtu pekee mwenye makombe makubwa mengi ni Ronaldo, that is a point hata kama hii haipendenzi machoni mwa mashabiki wa Liverpool. Hata kama sio tamu mdomoni mwa mashabiki wa Liverpool, VVD ataisikia Ballon D'or redioni tu au kuiona kwenye TV
Discussions
Cristiano Ronaldo on Ballon d’Or 2019 after UEFA Nations League victory
Cristiano Ronaldo led Portugal to a 1-0 win over Netherlands in the UEFA Nations League finals but made it a point not to be drawn into Ballon d’Or discussion after the match.
Ronaldo hit a semi-final hat-trick as Portugal advanced to the Nations League final, and silverware with the national side could see his odds shorten on being awarded a record sixth Ballon d’Or.
After Portugal's victory at the maiden edition of the UEFA NATIONS LEAGUE, Ronaldo might be the odds on favorite to win the 2019 Ballon d'or award surpassing Liverpool's Virgil Van Dijk and Barcelona's Lionel Messi.The five favourites to win the 2019 Ballon d'Or
Who are the favourites to win the 2019 Ballon d'Or?thefootballfaithful.com
Youtube
Even haven knows who is the best player in the world . It's always been Messi. Respect to Ronaldo van Dijk and other best players. But if the ballon d or is an individual award it should always going to Messi. I mean look at the numbers and decide on yourself. No one is even near the 🐐
https://www.youtube.com/watch?v=EvKzQ7_wAME