Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Katika hayo 16 basi 10+ ni Mickey Mouse Cup ambazo kwa Bongo tunaita Makombe ya Mbuzi.
Endelea kujisifia.
Mimi kwenye Miaka 15 nimebeba Makombe Mawili tu ambayo ni la Wababe wa Ulaya UCL mwaka 2005 na 2019.
Lakini ni bora kuliko 15 vyako out of 16.
Wzungu wana msemo uitwa
"Something is better than nothing"
Chelsea ktk miaka 15 wana
EPL = 5
UCL = 1
Europa = 2
Total = 8 (Very challenging titles)
Mickeymouse cups = 8???
Liverpool nyie mnazo ngapi in 15 yrs
UCL = 2
The rest = 0 including Mickeymouse
 
Total jealousy at work
 
Acha dharau mkuu hivi kuna kombe linaheshimika kama FA cup hapa duniani? Hii ni michuano ya kwanza kabisa kuanzishwa duniani.

Kama ujuavyo waingereza ndio waliuvumbua mpira wa miguu
Ha ha haa, FA tena?
 
Mkuu unatakiwa uongee na watu wa real Madrid na ac Milan tu ,hawa sio level ya Liverpool.
 
Wanamtaja sana huyu kwamba ndie chaguo la board ya Chelsea kuchukua nafasi ya Sarri
Javi Gracia - Watford Manager
 
We usiifananishe laliga na EPL bado sana kwa laliga kuifikia EPL

Laliga inazidiwa hata na bundasligi ya ujerumani!!

Uefa ni Bahati pia ndio maana sisi mwaka 2008 lilituponyoka mbele ya man u baada ya terry kukosa penalty ya mwisho
 
Liverpool mbabe wa ulaya kwa lipi wewe, kama ni hilo kombe basi heshima kwa real Madrid na sio Liverpool
 
Msimu ujao Liverpool itawakera sana maana itafanya vibaya kuliko kawaida kama hamtasajili wachezaji wapya.
 
Jose Mourinho’s Championship Team for 2018/19
The currently football pundit for beIN Sports, Jose Mourinho just named his UEFA Champions League Team of the Year. Mourinho’s UCL Team of the Year has several key names missing, including that of Cristiano Ronaldo.

Goalkeeper:
  1. Alisson Becker (Liverpool)
Defenders:
  1. Andrew Robertson (Liverpool),
  2. Matthijs de Ligt (AFC Ajax),
  3. Virgil van Dijk (Liverpool),
  4. Trent Alexander-Arnold (Liverpool)
Midfielders:
  1. Donny van de Beek (AFC Ajax),
  2. Frenkie de Jong (AFC Ajax),
  3. Christian Eriksen (Tottenham Hotspur)
Forwards:
  1. Sadio Mane (Liverpool),
  2. Mohamed Salah (Liverpool),
  3. Lionel Messi (Barcelona)
 
Achana nae mijitu ya Liverpool inajiropokea tu pasipo data kamili
 
Sizitaki mbichi hizi
Kesho mkichukua EPL mtabadilisha misemo na majigambo,
Liverpool fans are surely cursed for the words of their mouths
 
2018/2019 Europa League squad of the season - Chelsea dominates

Goalkeepers:
  1. Kepa Arrizabalaga (Chelsea)
  2. Kevin Trapp (Eintracht Frankfurt),
Defenders:
  1. David Luiz (Chelsea),
  2. César Azpilicueta (Chelsea),
  3. Danny da Costa (Eintracht Frankfurt)
  4. Alex Grimaldo (Benfica),
  5. Sead Kolašinac (Arsenal),
  6. Laurent Koscielny (Arsenal),
Midfielders:
  1. Jorginho (Chelsea),
  2. N'Golo Kanté (Chelsea)
  3. Makoto Hasebe (Eintracht Frankfurt),
  4. Filip Kostić (Eintracht Frankfurt),
Forwards:
  1. Eden Hazard (Chelsea)
  2. Olivier Giroud (Chelsea),
  3. Luka Jović (Eintracht Frankfurt),
  4. João Félix (Benfica),
  5. Pedro Rodriguez (Chelsea),
  6. Pierre-Emerick Aubameyang (Arsenal),
 
Acha kujitetea kwa kushindwa mtu anaye fail mara zote hana facts ni kutoa excuses tu,jitoeni kwenye epl, fa, carabao mshiriki uefa tu kama makombe hayana thamani
 
Kama Sarri ataondoka basi itakuwa vigumu sana kumpata tena top manager kuja darajani. Sarri is a top coach na ndani ya msimu mmoja amebadili style of play. Kama angepewe msimu mwingine mmoja basi kandanda ambayo ingepigwa darajani funs wengi wangei-admire Chelsea. Na nakuhakikishia kocha atakaye kuja hata top four Chelsea haitaingia. Kuondoka Sarri ni sawa na kuwaruhusu Tottenham na Man U waingie top four for free. Mashabiki wengi wa Chelsea are still immature. They don't know where to stand. Kazi kufuata upepo tu
 
Sarri Kageuka Wakala Kama Mwinyi Zahera Kaja Kumuuza Hazard ikisha nayeye anasepa.
 
Ku Kuna wachezaji hapo nimewaona fainali tu .....halafu ndo wanaingia kikosi bora...itakuwa umepanga ww
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…