Chelsea wana makombe 16 ikiwemo UCL na EPL za kutosha na Europa Ligue trophies in 15 years na bado kuna watu wasiofikiria wana mock na ksuiema better 1 UCL in 100 years than 10 Mickey Mouse cups in 5 yrs. Liverpool wana laana kwa sababu ya midomo ya mashabiki wao
Unajua watu wakimkufuru Mungu, mji wao umelaaniwa siku zote mpaka watubu
Hao watu wa Liverpool wanaomkufuru Mungu, Liverpool yao itaendelea kulaaniwa mpaka watubu
Beba EPL ndo ubingwa wa heshima zaidi uefa ni game of chance tu ..
Ukishapitwa na wakati utajitetea sana na team yenu yenye mafanikio ya youtube,mkisheherekea ubingwa leo mtarudi baada ya miaka 10 si ajabu EPL itabadilishwa jina mtatoka patupu
Hazard VP?
Real Wameshambaka
Real Wameshambaka
Alafu mashabiki eti wanataka Sari aondoke.Maurizio Sarri won 39 matches in all competitions for Chelsea this season - the only manager to ever win more in his first season in charge of Chelsea was José Mourinho in the 2004-05 (42 wins).
Nafikiri mashabiki sisi ndio tunamfukuza sarri darajani, kwa sababu hatujawahi kumuheshimu.Hatutegemei makubwa mwakani, tukifight tukabaki top 4 na kushinda vikombe vidogo vidogo itasaidia kutupitisha kwenye ban hadi msimu wa 2020/21
"Loss of Hazard, Maurizio Sarri, together with a transfer ban, means any new coach may need more time than the club have previously been willing to grant their head coaches"
Kama eden kimario alivyosema, ni Messi tu anaweza kuziba immediately nafasi atakayoiacha Hazard, Pulisic anaweza akaiziba nafasi hiyo baada ya misimu mitatu hadi minne kama career yake itafanikiwa Chelsea na kama atakuwa chini ya kocha mzuri
Ni 17 mkuu sio 16 toka mwaka 2000 tu mpaka leo, ikiwa ni mengi zaidi kuliko team yoyote EPLChelsea wana makombe 16 ikiwemo UCL na EPL za kutosha na Europa Ligue trophies in 15 years na bado kuna watu wasiofikiria wana mock na ksuiema better 1 UCL in 100 years than 10 Mickey Mouse cups in 5 yrs. Liverpool wana laana kwa sababu ya midomo ya mashabiki wao
Unajua watu wakimkufuru Mungu, mji wao umelaaniwa siku zote mpaka watubu
Hao watu wa Liverpool wanaomkufuru Mungu, Liverpool yao itaendelea kulaaniwa mpaka watubu
Acha dharau mkuu hivi kuna kombe linaheshimika kama FA cup hapa duniani? Hii ni michuano ya kwanza kabisa kuanzishwa duniani.Katika hayo 16 basi 10+ ni Mickey Mouse Cup ambazo kwa Bongo tunaita Makombe ya Mbuzi.
Endelea kujisifia.
Mimi kwenye Miaka 15 nimebeba Makombe Mawili tu ambayo ni la Wababe wa Ulaya UCL mwaka 2005 na 2019.
Lakini ni bora kuliko 15 vyako out of 16.
EPL ndio league ngumu dunianiKama EPL ndiyo kombe la Heshima zaidi kuliko UCL nadhani Man City ndiyo ingekuwa Timu yenye Heshima Zaidi Duniani!
Lakini cha ajabu Nje ya Uengereza Man City hakuna anayeijuwa kuwa ni timu Bali inaonekana sawa na Everton tu.
Ancelotti hakuwa na Ubavu kwenye Serie A, Zidane hakuwa na Ubavu kwenye Laliga lakini walijijengea Heshima kwa UCL.
Leo hii someone from Mbagala Kibondemaji anasema UCL haina Heshima mbele ya EPL! teh teh teh teh teh teh
Wewe ulikuwa wapi kwa nini usibebe, ndio maana top 4 tu ilikuwa inawapa tabu mnaishia Europa league tu na mkifika huko mnaishia kupigwa na sevila tu na kombe mnalisikia tuHapa ndiyo munapoonesha upopoma wenu!! Sasa kama tunakaa miaka 10 bila ya Ubingwa kwanini musituzidi hizo CL 6 tulizonazo?
Tumebeba 2005 lakini cha kushangaza katika kipindi hicho hamukubeba hata 3 kwa timu zote za England ili mutuzidi sisi tusiojuwa makombe..
LIVERPOOL NDIYE MBABE WA ULAYA NA NDIYE MTETEZI PEKEE WA EPL LINAPOKUJA SUALA LA ULAYA
Mashabiki ni watu wa kusahau wanachohitaji, sema naona sarri mwenyewe ndiye anaforce kuondokaAlafu mashabiki eti wanataka Sari aondoke.
EPL ndio league ngumu duniani
So ukibeba EPL unaonekana shujaa.
Uefa ni match saba tu ukijipanga vizuri unabeba, ndio maana mpaka Nottingham Forest yuko katika orodha ya team zilizowahi kutwaa uefa
Mashabiki ni watu wa kusahau wanachohitaji, sema naona sarri mwenyewe ndiye anaforce kuondoka
Na ni bora wamwachie maana wakimlazimisha kubaki msimu ujao ataboronga kwa maksudi
Wewe ulikuwa wapi kwa nini usibebe, ndio maana top 4 tu ilikuwa inawapa tabu mnaishia Europa league tu na mkifika huko mnaishia kupigwa na sevila tu na kombe mnalisikia tu
Ha ha haaa,wameshiriki misimu 15? daah kweli Uefa ni ya wanaume tuHapa ndiyo ujue kama Liverpool mfalme wa Ulaya! Chelsea kacheza CL misimu 15 mfululizo kaangukia CL moja tu.
Liverpool baada ya kusuasua nje ya Top kacheza CL misimu miwili tu mfululizo na yote kacheza Fainali moja kapoteza na moja kabeba Ndoo ya Wanaume.
Hapo ndiyo utajuwa kiwa Liverpool ni mbabe wa Ulaya.
Msimu ujao pia CL inatua Liverpool