Pašalić yupo vzr na alifunga ile game ya mwisho serie A ila Mara nyingi anaingia kama sub ndo maana mashabiki wa Atalanta huwa wanamuita super subKuna MTU yupo pale Atalanta kwa mkopo na anaanza kila match na team yake imefuzu champions league anaitwa Mario pasalic
Mkuu hao wanatafuta namna ya kuficha aibu zao maana wengi walitaka Arsenal achukue lakini ndo ivo imeshindikana.We jamaa mkorofi kichizi. Muulize mashindano ya Micky Mouse Cup wameshiriki mara ngapi na wameishia kuangukia pua mara ngap.?
Mkuu Reece James ni wa Kerri yupo kwa mkopo au!!Kuna mtu atakuja kukwambia mchezaji wa Championship hawezi chochote kwenye ligi kuu.
Teh..
Hatuyataki
Hahahahahahahahahahahaha tena hawa wa Liverpool ndo wameumia kinoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakipigwa na Spurs kesho ndo watapoteana kabisa.Ollachuga Oc. Hao Ni wafa maji tu. Sie tumezoea Kila msimu lazima tunyanyue kwapa.
Ahsante sana mkuu tuko pamoja.hongereni sana ndugu zetu,majirani zetu naamini huu ubingwa ni wa jiji la london na mnastahili kutuwakilisha UCL ......
Sizitaki mbichi hizi
Kila mchezaji akisajiliwa Liverpool anaamini hapo hakuna kitu hata wawe ni akina VVD
The same Mickey Mouse Cups that give us the strength and motivation to win the big cups
Ayo mnayotaka mumechukua mangapi?
hongera kwa umri wako umeona Liverpool akichukua uefa Moja tu, kwa kifupi washabiki wa Chelsea wanafuraha kuliko mshabiki yoyote wa Liverpool Tanzania maana kaona team yake ikivuna makombe live sio stories na videos za youtube, ubingwa wa Youtube hauna flavour .Niwapongeze Mashabiki wa chelsea mnayashuhudia mafanikio ya Team yenu sio masimuliziTumechukia MATANO na la 6 linakuja kesho
Huku wewe sio saizi yako
Wanamtaka kununua wameshatangazaKuna MTU yupo pale Atalanta kwa mkopo na anaanza kila match na team yake imefuzu champions league anaitwa Mario pasalic
hongera kwa umri wako umeona Liverpool akichukua uefa Moja tu, kwa kifupi washabiki wa Chelsea wanafuraha kuliko mshabiki yoyote wa Liverpool Tanzania maana kaona team yake ikivuna makombe live sio stories na videos za youtube, ubingwa wa Youtube hauna flavour .Niwapongeze Mashabiki wa chelsea mnayashuhudia mafanikio ya Team yenu sio masimulizi
Mkuu Reece James ni wa Kerri yupo kwa mkopo au!!
Arsenal bado wanaweza kuqualify for UCL
Man city wako kwenye uchunguzi wa Financial Fair Play na wadadisi wa mambo wanaipa Man city asilimia kubwa ya kupigwa ban mashindano ya mwakani ya UCL. Ikiwa watapigwa ban, Arsenal walio kwenye nafasi ya tano ndio wataungana na mshindi wa 2-4 kwenye mashindano hayo
Historia yako kuwa na hela zamani haisaidii kama sasa hivi upo kwenye umaskiniKuona Moja haifuti Tano unless uwe umekimbia umande
Arsenal, mambo ya Pemba hayo. Hakuna vya bwerere!Kwann timy isipamban yenyewe kusaka nafasi mpka ipende kupita mlango wa nyuma
NO FREE LUNCH
La sita lipi? Mkitaka kubeba makombe kama hayo, mfukuzeni Klopp ..mna timu nzuri kwa sasa ila nyota ya Klopp ndo haing'ai uko.Tumechukua MATANO na la 6 linakuja kesho
Huku wewe sio saizi yako
Itakuwa poa kama tukimzuia asichukuliwe na timu yeyote ya England.Alikua kwa mkopo Wigan Athletic
Kuna MTU yupo pale Atalanta kwa mkopo na anaanza kila match na team yake imefuzu champions league anaitwa Mario pasalic
Itakuwa poa kama tukimzuia asichukuliwe na timu yeyote ya England.