ukipata picha ya mzee baba kabeba kombe umejitahidi sana maana wanamlazimisha abebe anakaa pembeni na kutabasamu hana makuu Al haji mpole nje ya uwanjaNgoloooo MTU na Bahati zakeView attachment 1112064
Ile penalty alikuwa anaenda kuipiga kalou huyo mwingereza akakimbilia kujipatia sifa aliniudhi mbaya kabisa hadi leo inaniuma maana tulishindwa na team ya kawaida sana,na angatutia gundu afadhali alipigwa umeme 2012 tukacheza bila yeye tukanyanyua kwapaMpaka Leo sijui kwa nini Terry aliteleza na kutunyima taji la champions league
Anasepa huyo asee mtabaki kama vibogoyo
Tumempa baraka zote kwa kujitolea kwake,Anasepa huyo asee mtabaki kama vibogoyo
Alipokuwa hayupo, tulikuwa na akina Lampard, Drogba, Esien, Makelele, atakapoondoka watakuja akina Drogba, Lampard, Esien na Makelele tenaAnasepa huyo asee mtabaki kama vibogoyo
Atakuja mzuri zaidi yake. So calm downAnasepa huyo asee mtabaki kama vibogoyo
Wee una Mickey Mouse ngap?
Sizitaki mbichi hiziHatuyataki
Wanatamani sna tu. Ila uwezo wa kuchukua Ni shidaSizitaki mbichi hizi
Kila mchezaji akisajiliwa Liverpool anaamini hapo hakuna kitu hata wawe ni akina VVD
It is these Mickey Mouse Cups that give us the strength and motivation to win the big cups
Ayo mnayotaka mumechukua mangapi?Hatuyataki
Ollachuga Oc. Hao Ni wafa maji tu. Sie tumezoea Kila msimu lazima tunyanyue kwapa.Ayo mnayotaka mumechukua mangapi?
Na ndiyo maana wanachukia Chelsea yetu.Fukuza fukuza ya makocha, imesababisha Chelsea kuwa club yenye mafanikio EPL kwa miaka 19 sasa toka msomu wa mwaka 2000.
Kwa kipindi hicho Chelsea imetwaa mataji 17 ikiwa ni mengi zaidi kuliko team yoyote pale EPL
Kuna mtu atakuja kukwambia mchezaji wa Championship hawezi chochote kwenye ligi kuu.Man U na Leicester city wanamgombania Reece James na Chelsea wamenyamaza tu!
We jamaa mkorofi kichizi. Muulize mashindano ya Micky Mouse Cup wameshiriki mara ngapi na wameishia kuangukia pua mara ngap.?Ayo mnayotaka mumechukua mangapi?
Wakikujibu puliz NAOMBA unitag na mimiWe jamaa mkorofi kichizi. Muulize mashindano ya Micky Mouse Cup wameshiriki mara ngapi na wameishia kuangukia pua mara ngap.?