eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Tukutane tar 1 JuneUnafukua Makaburi sio baada ya kubeba Mickey mouse cup?
Hii ilikua ni ndotoGood bye 2018/19
Welcome 2019/20
Congratulation Man City kwa EPL
Congratulation Barca/Ajax kwa UCL
Congratulation Arsenal kwa UEROPA LEAGUE
Tukutane tar 1 June
King Ngwaba. Sisi tumeshachua ya kwetu. Na ninyi mpambane tu mpate yenu. Chelsea Kila mwaka lazima inyanyue kwapa.Tokea Ianzishwe Spurs ilikuwa ikionekana ni Timu ya Kawaida! Lakini Ndani ya Mwezi huu wa May inaonekana ni Bonge la timu kuliko hata Barcelona na Bayern
HAKIKA.Wachezaji wa Chelsea ni mastaa haswa, ukichunguza kila mmoja amewahi kutwaa mataji makubwa ya ulaya. Kila mmoja anaelewa umuhimu wa kutwaa kombe katika finally
Kila la kheri Eden HazardEden hazard
Match 352
Magoli 110
Assist 92
Makombe
EPL 2
Europe league 2
FA cup 1
Carabao cup 1
Mchezaji bora Chelsea Mara 4
Mchezaji bora wa EPL Mara 1
Miaka saba yenye mafanikio, nenda Hazard na nakutakia mafanikio mema zaidi [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji95] [emoji95] [emoji95] View attachment 1112181
Sisi kombo lolote Lina thamani. Naamini hata ninyi mnatamani mpate hata mickey Mouse Cup.Unafukua Makaburi sio baada ya kubeba Mickey mouse cup?